Friday, April 8, 2011

MAPREZIDAA WANAPOKUTANA HAPATOSHI!!!!!

Huu mzigo nilipewa na Diamond Platinum kwa hisani ya Ikulu. Hapa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete akiwa na prezidaa wa Wasafi Diamond alipokuwa Ikulu kwa mwaliko maalumu. Kwa mujibu wa Diamond amesema kajitoa kundi la Masharobaro na kuanzisha Kundi la Wasafi ambapo yeye ndio Rais wao huku Hemedy (PHD) akiwa Makamu wake na Shetta kama Waziri Mkuu bila kumsahau First Lady Wa Wasafi Linnah (THT).

Na soon kutakuwa na Battle kati ya Rais wa Masharobaro (Bob Junior) na Rais wa Wasafi Diamond Baaaaaaaaaaaby Ikisimama kwa Title ya WHO'S THE PRESIDENT?????????????

No comments:

Post a Comment