Wednesday, April 13, 2011

IS IT MEDIA INACHANGIA KU-PROMOTE BEEF ZA WASANII?????????

Bob Junior a.k.a Rais wa Masharobaro kupitia Clouds FM kwenye show ya XXL amesema kuwa kuna watu watatu wanaomtishia maisha na amewachukulia RB. Aliwataja kwa majina ni Diamond aka Rais Wa Wasafi, Shetta pamoja na Meneja wa Shetta anaitwa Shabaha. RB namba: OB/RB/6303/2011.
Kupitia kipindi cha LEO TENA hapo hapo Clouds FM katika Segment ya Movie Leo nikamsikia Miss Tz 2006 Wema Sepetu ambaye pia ni First Lady wa Wasafi (Girlfriend Wa Diamond) alifunguka mbaya HUKU AKIMTUHUMU Bob Jr kumuhusisha moja kwa moja kwenye ilo Beef lao. Lakini kuna mambo ambayo aliyaongea pengine yasingestahili kuongelewa kwenye Media.

Alimchana sana Bob Jr mpk kufikia hatua kusema labda the guy ana-jealous nae kuwa inawezekana nae anamtaka Diamond............................................ ???????????????


Nilipojaribu kumtafuta Diamond kuongelea kuhusu hilo aliniambia "Hachana nae anashindwa kutoa Wimbo wa pili kang'ang'ania malumbano ili akuze jina, watu wanataka kazi za Muziki kali na sio kuongea ovyo kama M**hu....."


Kwa mtazamo wa Faster hii Beef inakuzwa sana na Media na ndio maana mwisho wa siku watu wanachukuliana RB, Wanatukanana na mambo kama hayo!!!..... Tukirudi kwa Ngoma ya Fid Q ya Propaganda kama alishausoma mchezo kipindi anatunga hizi mistari.....!!!!

So maisha yenyewe ya kuunga unga Tutafika wapi na hizi Beef zisizokuwa na Mipango?????????????????????????????????

No comments:

Post a Comment