Monday, April 11, 2011

EZDEN THE ROCKER AFUNGUKA NA WASANII UCHWARA!!!!!!!!!!!

Ni moja ya ma-presenter wakali na young blood in da Media Industry..... Kutoka Mwanza the Rock City kupitia Radio ya Kijanja KISS FM anafahamika kama EZDEN THE ROCKER,,, Host wa show ya ukweeeh KISS COLLABO MIX... Pale kati Mon - Fri kuanzia saa 3 asbh mpk saa 6 mchana along side Dj Simba hizo time za saa 5 milazo mpk 6 ......
Leo katika Wall yake nimekutana na bonge moja ya Status akifunguka na wasanii:-


"wewe ni msanii umezaliwa na kukulia Dar ukiulizwa hali ngumu ulopata utasema ni KUTEMBEA KWA MGUU TOKA KWENU MPAKA STUDIO kwenda kurecord wimbo wa MAPENZI na PARTY...Lakn ungejua watanzania wangap wanaishi ktk maisha ya shida ungetumia uchungu wa kutembea kuandika wimbo sahihi. Huu ni mtazamo tu..Niaje kwa mtanzania yuko Bush na radioyake ya mbao kila siku anasikia nyimbo za MAPENZI na PARTY, zinamsaidiaje?"

No comments:

Post a Comment