Tuesday, April 19, 2011

ARNOLD SCHWARZENEGGER AKERWA NA UZEE!!

Arnold Schwarzenegger amekuwa Busy sana toka amehacha office kama California governor's January Hii. Huku akiwa na trip za South America na director Pal James Cameron; Na pia kuattend Tamasha la Scorpions huko Moscow akiwa na former USSR President Mikhail Gorbachev.


Huku maisha yakiendelea poa kwa nje, Schwarzenegger amekili kuwa anapata wakati mgumu sana anapojiangalia kwenye Kioo. Inaonekana mzeya wa 63yrs -old ambaye ni ex-governor wa Califonia hataki kukubali uhalisia kuwa anazeeka , Alifunguka kwa kusema:- "But I feel so sh*tty when I look at myself in the mirror."

No comments:

Post a Comment