Sunday, April 24, 2011

PASAKA NJEMA WADAU......!!!!!!!!!


Leo Jumapili ya Pasaka, Wakristu wote Ulimwenguni kwa pamoja tunasherekea siku ya kufufuka Bwana wetu YESU KRISTU. Wakristu wote tunaamini Yesu alifufuka katika wafu siku ya tatu baada ya kifo chake pale msalabani...

Kupitia kifo chake, kuzikwa na Kufufuka kwake, Yesu Kristu alilipa Dhambi Zetu wanadamu ili tupate wokovu wa milele........... NAWATAKIA WOTE SIKUKUU NJEMA YA PASAKA. KRISTU AFUFUKE NDANI YA MIOYO YETU AMINA.!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tuesday, April 19, 2011

FUNGUA FURAHA YAKO NA........ARNOLD SCHWARZENEGGER AKERWA NA UZEE!!

Arnold Schwarzenegger amekuwa Busy sana toka amehacha office kama California governor's January Hii. Huku akiwa na trip za South America na director Pal James Cameron; Na pia kuattend Tamasha la Scorpions huko Moscow akiwa na former USSR President Mikhail Gorbachev.


Huku maisha yakiendelea poa kwa nje, Schwarzenegger amekili kuwa anapata wakati mgumu sana anapojiangalia kwenye Kioo. Inaonekana mzeya wa 63yrs -old ambaye ni ex-governor wa Califonia hataki kukubali uhalisia kuwa anazeeka , Alifunguka kwa kusema:- "But I feel so sh*tty when I look at myself in the mirror."

CRAZIEEEEEEE SATURDAY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Thursday, April 14, 2011

MANY HAPPY RETURNS OF THE DAY...... "HAPPY B'DAY MR. BLUE"

Micharazooooooooooo Baabeee!!!!!!!!!!! Herry Sameer a.k.a Mr. Blue au Kabaysaa!!!!!!!!!! Leo kama kitu cha kuongeza siku za majukumu hiviii...... Kama umezaliwa siku moja na Brada wish u all the Best and HAPPY B'DAY!!!!!!!!!!!!

Wednesday, April 13, 2011

IS IT MEDIA INACHANGIA KU-PROMOTE BEEF ZA WASANII?????????

Bob Junior a.k.a Rais wa Masharobaro kupitia Clouds FM kwenye show ya XXL amesema kuwa kuna watu watatu wanaomtishia maisha na amewachukulia RB. Aliwataja kwa majina ni Diamond aka Rais Wa Wasafi, Shetta pamoja na Meneja wa Shetta anaitwa Shabaha. RB namba: OB/RB/6303/2011.
Kupitia kipindi cha LEO TENA hapo hapo Clouds FM katika Segment ya Movie Leo nikamsikia Miss Tz 2006 Wema Sepetu ambaye pia ni First Lady wa Wasafi (Girlfriend Wa Diamond) alifunguka mbaya HUKU AKIMTUHUMU Bob Jr kumuhusisha moja kwa moja kwenye ilo Beef lao. Lakini kuna mambo ambayo aliyaongea pengine yasingestahili kuongelewa kwenye Media.

Alimchana sana Bob Jr mpk kufikia hatua kusema labda the guy ana-jealous nae kuwa inawezekana nae anamtaka Diamond............................................ ???????????????


Nilipojaribu kumtafuta Diamond kuongelea kuhusu hilo aliniambia "Hachana nae anashindwa kutoa Wimbo wa pili kang'ang'ania malumbano ili akuze jina, watu wanataka kazi za Muziki kali na sio kuongea ovyo kama M**hu....."


Kwa mtazamo wa Faster hii Beef inakuzwa sana na Media na ndio maana mwisho wa siku watu wanachukuliana RB, Wanatukanana na mambo kama hayo!!!..... Tukirudi kwa Ngoma ya Fid Q ya Propaganda kama alishausoma mchezo kipindi anatunga hizi mistari.....!!!!

So maisha yenyewe ya kuunga unga Tutafika wapi na hizi Beef zisizokuwa na Mipango?????????????????????????????????

Tuesday, April 12, 2011

HABARI NJEMA KWA WANAMUZIKI WOTE TANZANIA.


Habari njema kwa wasanii wote wa Miziki ya Aina zote Tanzania, Tanzania Online Internet Radio inawapa nafasi ya kutangaza nyimbo zenu popote Duniani Buree kabisa kupitia station namba moja ambayo ni online pekee hakuna Fm wala Frequency ni wakati wenu kutangaza Muziki wa kizazi kipya Dunia nzima karibuni sana nitumie wimbo kupitia mbeyayetu@yahoo.com karibuni sana. Tumezingatia umuhimu wenu na kazi zenu Sikiliza Radio Live kupitia tovuti yetu juu ya tangazo la Vodacom. Link ya Radio:-www.mbeyayetu.blogspot.com Presenta Dj Sir Frenje (Fredy Njeje)

Monday, April 11, 2011

EZDEN THE ROCKER AFUNGUKA NA WASANII UCHWARA!!!!!!!!!!!

Ni moja ya ma-presenter wakali na young blood in da Media Industry..... Kutoka Mwanza the Rock City kupitia Radio ya Kijanja KISS FM anafahamika kama EZDEN THE ROCKER,,, Host wa show ya ukweeeh KISS COLLABO MIX... Pale kati Mon - Fri kuanzia saa 3 asbh mpk saa 6 mchana along side Dj Simba hizo time za saa 5 milazo mpk 6 ......
Leo katika Wall yake nimekutana na bonge moja ya Status akifunguka na wasanii:-


"wewe ni msanii umezaliwa na kukulia Dar ukiulizwa hali ngumu ulopata utasema ni KUTEMBEA KWA MGUU TOKA KWENU MPAKA STUDIO kwenda kurecord wimbo wa MAPENZI na PARTY...Lakn ungejua watanzania wangap wanaishi ktk maisha ya shida ungetumia uchungu wa kutembea kuandika wimbo sahihi. Huu ni mtazamo tu..Niaje kwa mtanzania yuko Bush na radioyake ya mbao kila siku anasikia nyimbo za MAPENZI na PARTY, zinamsaidiaje?"

MIAKA 5 YA "EBONY FM" SPECIAL OFFER KWA WAKAZI WA NYANDA ZA JUU KUSINI.

Hii ni special kwa wasikilizaji wote wa Ebony Fm Nyanda za juu kusini na kote ambapo Ebony inasikika. Kutoka kwa Promotion manager wa Ebony Fm Bonnie Sly kupitia ukurasa wake wa FACEBOOK kafunguka kama ilivyo hapo chini....:-

"KATIKA KUADHIMISHA MIAKA MITANO YA EBONY FM, TUNATOA BONGE LA OFA YA SHOPPING HOLLIDAY AND TWO NIGHTS KATIKA FIVE STAR HOTEL, RETURN TICKET YA NDEGE NA GHARAMA NYINGINE ZOTE WAKATI WA HOLIDAY HIYO, JINSI YA KUJISHINDIA OFA HII, SIKILIZA KILA KIPINDI CHA EBONY FM KUNA WIMBO MAALUM WA ASANTE UNAPIGWA THEN UNAFUATIWA NA WIMBO MAALUM WA SAA HIYO, NA MUDA WOWOTE BAADA YA HAPO MTANGAZAJI ATAPOKEA SIMU YAKO NA UKITAJA MUDA SAHIHI, JINA LA KIPINDI NA JINA LA MTANGAZAJI KWA MUDA HUO UTAKUA NDO MSHINDI WA SAA HIYO, NA WASHINDI WA SIKU ZOTE WATAINGIA KATIKA DROO YA MWISHO ITAKAYO KUWA TAREHE 1 JUNE 2011 NA MSHINDI WA EBONY FM SHOPPING HOLLIDAY ATAPATIKANA..... EBONY FM FEEL THE DIFFERENCE...... 87.8 IRINGA 94.7 MBEYA 88.2 MAKAMBAKO.. 91.6 DODOMA & 95.4 MOROGORO " So mkazi wa nyanda za juu kusini unasubiri nini??? Funguka zali si ndio hili???????????

Friday, April 8, 2011

MAPREZIDAA WANAPOKUTANA HAPATOSHI!!!!!

Huu mzigo nilipewa na Diamond Platinum kwa hisani ya Ikulu. Hapa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete akiwa na prezidaa wa Wasafi Diamond alipokuwa Ikulu kwa mwaliko maalumu. Kwa mujibu wa Diamond amesema kajitoa kundi la Masharobaro na kuanzisha Kundi la Wasafi ambapo yeye ndio Rais wao huku Hemedy (PHD) akiwa Makamu wake na Shetta kama Waziri Mkuu bila kumsahau First Lady Wa Wasafi Linnah (THT).

Na soon kutakuwa na Battle kati ya Rais wa Masharobaro (Bob Junior) na Rais wa Wasafi Diamond Baaaaaaaaaaaby Ikisimama kwa Title ya WHO'S THE PRESIDENT?????????????

Wednesday, April 6, 2011

USIKU WA WASAFI SEASON 2 ULIVYOFUNIKA NDANI YA BILLZ.


Hapo kati ni Prezzo wa Wasafi Diamond akiwa stajini na Dances wake Club billz siku ya Jumapili ya trh 3 last week.
Ilikuwa nyomi moja mbaya sana hapo kati...... Raia walikuwa wanapagawa kumwona Presidaa akiswaisha pale kati.
Hapa Presidaa Diamond na Waziri Mkuu wake Shetta wakipanga mikakati kabla ya kupanda stage kwa show moja hatari saaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamaa kama ukubahatika kuwepo kwenye hii show daaaaaaaaah iliweka Historia maana Nyomi ya watu mpk AC zilishindwa kufanya kazi ikabidi uongozi wa Billz kuamulu watu kupigwa stop kuendelea kuingia ndani na milango na madirisha kufunguliwa ili kupata hewa zaidi otherwise pangekuwa hapatoshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...................

PIPI KUPEPERUSHA FLAG YA TZ WORLD WIDE.

Ni moja kati ya Underground ninayemkubali toka mara kwanza kumsikia kupitia ngoma ya Njia panda ya Barnaba. Kutoka THT ilifahamika kama PIPI lakini mie namtambua kama Doreen binti mwenye Hustlement za uhakika na hasie kata Tamaa.

Leo asbh nilipokea msg kutoka kwa Pipi akinitaka Raia na Fans wake kujua nini kinaendelea kuhusu yeye ambapo alifunguka kama ifuatanvyo:-


"MAMBO? MWEZI WA PILI TAREHE 29 NILISHIRIKI KATIKA AUDITION YA ORGANISATION MOJA YA KIMATAIFA INAITWA UMOJA FLYING CARPET AMBAYO ILIKUWA INATAFUTA VOCALISTS, DANCERS AND MUSICIANS.....WATU 15 NDO WALIOHITAJIKA NA NILIBAHATIKA KUWA KATI YA WAIMBAJI WANNE TULIOCHAGULIWA.... BINAFSI NAONA KAMA MIUJIZA KWANI SIKUTARAJIA KWAMBA NITAANZA KUONEKANA KIMATAIFA MAPEMA HIVI KWANI TOUR HII ITANIWEZESHA KUKITANGAZA KIPAJI CHANGU NCHI MBALIMBALI KAMA UGANDA, ETHIOPIA, MOZAMBIQUE,NORWAY, NETHERLANDS NA SOUTH AFRICA..... NA PIA NAAMINI HUU NI MWANZO MZURI KATIKA JITIHADA ZA KUITANGAZA BENDERA YA NCHI YANGU KUPITIA KIPAJI CHANGU..." alimalizia Pipi.


Huu ni mwanzo mzuri kwake na kwa Watanzania wote . So Pipi mimi nakutakia Mafanikio Mema fanya tu kuiwakilisha Bongo for real. ALL THE BEST PIPI.

Monday, April 4, 2011

R.I.P MY BROTHER ADAM LUSEKELO.


Adam Lusekelo ni moja kati ya waandishi wa siku nyingi hapa Tanzania , nilipata kusoma kazi zake kupitia column yake maarufu iliyokuwa ikitoka ktk magazeti ya Daily News na Sunday News "With a Light Touch". Nilipata mshutuko sana wkend hii nilipopata taarifa juu ya kifo chake. Tulimpenda sana kaka yetu, Mwandishi mwenzetu lakini Mungu kampenda zaidi. kilichobaki ni kuyaenzi yale mazuri aliyotuachia na kumwombea kwa Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi Amina!!!!!!!!!!!!!!

CRAZY SATOOOO NITE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!