Monday, March 21, 2011

WYCLEF JEAN APINGWA RISASI YA MKONO.


Legend wa Hip Hop mwenye Asili ya Haiti Wyclef Jean apingwa Risasi siku ya Uchaguzi wa Rais March 20th na kukimbizwa Hospital kwa matibabu zaidi.

News ni kwamba Mtu mzima alikuwa kwenye Ndinga wakikatiza mitaa fulani na wanae akiwemo Busta Rhymes, Jimmy Rosemond na washikaji wengine ambapo walimiminiwa Risasi ,lakini hakuna Abiri aliyejeruhiwa zaidi ya Wyclef kwenye mkono wake wa kulia. Mkono ambao uli-make headline ya U-Star kwa kuchalanga gitaa.

Kwasasa Wyclef Jean the hip-hop star has been released from the hospital baada ya matibabu poa.

No comments:

Post a Comment