Tuesday, March 29, 2011

WE ALWAYS LOVE U FAZA NELLY - X PLASTAZ

FIVE (5) years toka umetutoka (March 2006). mpaka leo pengo lako alijazibika na kamwe aliwezi kuzibika. Mwanaharakati wa ukweli sana NELSON CHRIZOSTOM BUCHARD wengi tulimfahamu kama Father Nelly moja ya vichwa adimu pale X-PLASTAZ kundi la Hip Hop kutoka Arusha. DAIMA TUTAKUKUMBUKA MILELE.

NELSON CHRIZOSTOM BUCHARD ALIZALIWA: 18-02-1976 AKAFARIKI: 29-03-2006 "Heri yule afaye katika upatanishi maana atauona ufalme wa mbingu" R.I.P

No comments:

Post a Comment