Monday, March 28, 2011

SNOOP DOGG AMUENZI NATE DOGG KWA TATTOO.

Snoop ametafuta njia nzuri ya kumuenzi is Best friend Nate Dogg, aliyefariki mapema mwezi huu. The "Gin and Juice" rapper kagonga tattoo kwenye mkono wake yenye maneno "All Doggs go to Heaven". Pia Snoop kafunguka kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa "Tha tattoo u been waitin 2 c. My bro Nate Dogg by @Misterctoons," Huku ameongeza kwa kusema :- "We lost a true legend in hip hop and R&B, One of my best friends and a brother to me since 1986, when I was a sophomore...I love u buddy luv. U will always be with me forever and a day. You put the 'G' in G funk. You put the '1' n 213. And you put yo stamp on everybody you ever did it with." Snoop, The Game, na Warren G walikuwa ni kati ya wasanii kibao wa hip hop kwenye memorial service ya Nate Dogg siku ya Jumamosi. R.I.P

No comments:

Post a Comment