Monday, March 28, 2011

SHUKRANI KWA WATANZANIA WOTE WALIOMUWEZESHA KULAMBA TUNZO MBILI.


Hongera JCB kukumbuka kutoa shukrani kwa wale waliokuwezesha kusanuka na tunzo mbili. Mengi yamejitokeza kwenye Tunzo za Kili Music Awards 2011. Nyote mmeona wapi palipwaya na wapi palikuwa sawa. Zaidi tunaitaji kwenda mbele ya hapo. Kwa leo sisemi lolote kwani kila mwaka nasema sana.


Hongera pia kwa msanii 20% kwa kuibuka na Tunzo 5. Umevunja Rekodi Bro!!!!!!!!!! Pia Hongereni sana wote mliofanikiwa kupata Tunzo.

No comments:

Post a Comment