Tuesday, March 22, 2011

SAD NEWZ KWA WAPENZI WA TAARABU HASA WA KUNDI LA FIVE STARS MODERN


HII NI KWA WOTE WAPENZI WA MUZIKI WA TAARAB NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA AMBAO TUNAUNGANA KWA PAMOJA NA KUTOA POLE KWA FAMILIA, NDG, JAMAA NA MARAFIKI WA KARIBU WA BENDI MAARUFU YA MUZIKI WA TAARAB NCHINI, FIVE STARS KWA KUPOTEZA BAADHI YA WANAKIKUNDI KWENYE AJALI MBAYA YA GARI JANA HUKO MOROGORO NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA SANA.

KATI YA NYIMBO AMBAZO ZIMEFANYA VIZURI SANA KWA MWAKA 2010/2011 NI ULE WA MCHUMU ,,MCHUMU,,, MCHUMU MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH......... MCHUMU TENA MWAAAAAAAAAAH!!!!!!!!!!! HATA KAMA WEWE SI MPENZ WA TAARAB LAKINI WIMBO HUU SI MGENI MASIKIONI KWAKO.

MUNGU ZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA!!!!!

No comments:

Post a Comment