Tuesday, March 29, 2011

RUMORS ZA KIFO CHA JACKIE CHAN ZAITIKISA DUNIA.

Tukiwa njiani kuelekea siku ya WAJINGA DUNIANI (1st April), watu wametafuta njia nzuri ya kuisherekea siku hiyo baada ya kuzusha kifo cha Hollywood's most famous & a Icon Action Star Jackie Chan (51 yrs) kuwa kafariki Dunia kwa ugojwa wa Shinikizo la Moyo (Heart Attack).

Hii imepelekea wapenzi wa Jackie Chan kutoka kila kona ya Dunia kuanza ku-google ili kupata uhakika wa habari hizo. Info za uhakika kutoka mtandao mmoja wa mbele unaohusika na Breaking News umethibitisha kuwa Jackie Chan yupo poa, ana-sound good and safe ,so NO NEED FOR WORRY!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment