Friday, March 11, 2011

P.DIDDY ATUPIA # 1 HIP HOP ARTIST MILLIONARE.

Sean Diddy Combs ama P.Diddy anaongoza kwa mkwanja mrefu saaaaaaaaaaaaana kwa wana Hip Hop Duniani,,. Baada ya kumtupa kule Jay -z kwa zaidi ya Dolla milioni 25... daaaaaaaaaaaah ametisha sana Didy kwa huo mkwanja wa 475 Million $.

Hapa kati ni Jay-Z mwanaharakati ambaye ametupwa # 2 kwa utajiri wa $ million 450, akifatiwa na Dr. Dre huku # 4 ni our Bro 50 Cent na # 5 ni Father wa Young Money Birdman/Baby.
Hao ni tano bora wa Hip Hop Artist wanaongoza kwa mkwanja Mrefuuuuuuuuuuuu Duniani.

No comments:

Post a Comment