Tuesday, March 1, 2011

HAPPY BIRTHDAY JUSTIN BIEBER....!! NA MZIGO TUMEUONA

Kama leo ni siku yako ya kuzaliwa basi unashare mzigo na Justin Bieber!!!!!!!! Lakini kubwa zaidi kwenye picha ni dogo na mzigo wake mpya unaoitwa Selena Gomez . Ambao kwa mara ya kwanza Dogo aliamua kufunguka kweupeeeeee na ku-made their first public appearance kama couple kwenye 2011 Vanity Fair Oscar party.

Ki-bongo bongo duuuuuuuuuuh inge-make headline mbaya kwani ndio kwanza Dogo anafikisha miaka 17 banaaaa!!!!!!!!!!!!. Nway Happy Birthday JB na wewe ulishare day nae!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment