Wednesday, March 9, 2011

ALWAYS WE LOVE U BIG POPPA.... NATORIOUS!!

Christopher George Latore Wallace (May 21, 1972 – March 9, 1997) ni mmoja kati ya American rapper ambao hawatasahaulika Duniani. He was popularly known as Biggie au Big Poppa (But mwanzoni alikuwa na jina la stage known as The Notorious B.I.G..

B.I.G alikulia kitongoji cha Brooklyn borough pale kati New York City. kama September 13, 1994 alidondosha mzigo wake wa kwanza ambao mauzo yake yalifika Platinum kwa 2 Hit singles (BIG POPPA n' 1 MORE CHANCE), duuuh bonge moja la album goes by the name of Ready to Die ambayo ilimfanya awe "Central figure" katika East Coast hip-hop scene na kuongeza New York's visibility kwani time hizo West Coast artists walikuwa common sana katika game.


Kila ifikapo March 9, Dunia ukumbuka kifo cha B.I.G kwani tarehe kama ya leo mwaka 1997, B.I.G was killed in a drive-by shooting in Los Angeles. Na siku 15 baada ya kifo chake waliachia His double-disc set Life After Death, ambayo ilikuwa, hit #1 on the U.S. album charts na kutunukiwa hati ya Diamond mwaka 2000 (ni moja kati ya Albam za hip hop chache kupata hiyo certificate).. Toka kifo chake Albamu mbili zaidi have been released. Na MTV ranked him kama #3 kwenye list ya The Greatest MCs (Rappers) of All Time.

SO LEO TUNAADHIMISHA MIAKA 14 TOKA KIFO CHA BIGGIE:-


BIRTH NAME: Christopher George Latore Wallace

A.K.A: Biggie Smalls, The Notorious B.I.G., Big Poppa

BORN: May 21, 1972(1972-05-21)
New York City, New York, United States

DIED: March 9, 1997(1997-03-09) (aged 24)
Los Angeles, California, United States


GENRES: Hip hop

OCCUPATIONS: Rapper, songwriter
Years active 1992–1997

LABELS: Bad Boy

ASSOCIATED ACTS: Lil' Kim, Sean Combs, Junior M.A.F.I.A., Total, 112, The Commission

No comments:

Post a Comment