Thursday, March 31, 2011

THIS IS BONGO, ZAIDI YA UIJUAVYO!!!!!!!!!!!!!!!

Hapa kati ni mtu mzima 20% ambaye kavunja rekodi toka Tunzo za KTMA zianzishwe hapa Tz. Lakini kwa pembeni kakumbatiwa na Mfalme wa Rhyms Afande Sele kwenye makazi yake huko Mji kasoro bahari (Moro). Wakati mfalme akimpongeza 20% kwa kupata Tunzo 5. Nway nilitaka kukuuliza swali umejua kwanini nimeandika Tittle ya THIS IS BONGO???????????????????........ Embu tazama vizuri utapata jibu... Weekend Njema!!!!!!!

Tuesday, March 29, 2011

RUMORS ZA KIFO CHA JACKIE CHAN ZAITIKISA DUNIA.

Tukiwa njiani kuelekea siku ya WAJINGA DUNIANI (1st April), watu wametafuta njia nzuri ya kuisherekea siku hiyo baada ya kuzusha kifo cha Hollywood's most famous & a Icon Action Star Jackie Chan (51 yrs) kuwa kafariki Dunia kwa ugojwa wa Shinikizo la Moyo (Heart Attack).

Hii imepelekea wapenzi wa Jackie Chan kutoka kila kona ya Dunia kuanza ku-google ili kupata uhakika wa habari hizo. Info za uhakika kutoka mtandao mmoja wa mbele unaohusika na Breaking News umethibitisha kuwa Jackie Chan yupo poa, ana-sound good and safe ,so NO NEED FOR WORRY!!!!!!!!!!!!!!!!!

WE ALWAYS LOVE U FAZA NELLY - X PLASTAZ

FIVE (5) years toka umetutoka (March 2006). mpaka leo pengo lako alijazibika na kamwe aliwezi kuzibika. Mwanaharakati wa ukweli sana NELSON CHRIZOSTOM BUCHARD wengi tulimfahamu kama Father Nelly moja ya vichwa adimu pale X-PLASTAZ kundi la Hip Hop kutoka Arusha. DAIMA TUTAKUKUMBUKA MILELE.

NELSON CHRIZOSTOM BUCHARD ALIZALIWA: 18-02-1976 AKAFARIKI: 29-03-2006 "Heri yule afaye katika upatanishi maana atauona ufalme wa mbingu" R.I.P

Monday, March 28, 2011

JAY DEE AFUNGUKA NA TUNZO ZA KTMA 2011

Sikuweza kufika kwenye tuzo za Kili kwakuwa sikupatiwa mwaliko, niliogopa kuzamia. Nadhani walinisahau.........Tehe tehe tehe Hata mwakilishi wangu yoyote pia hakuwepo ila Shabiki mmoja wapo alinipokelea na kuniletea Nyumbani Lounge. La muhimu zaidi nashukuru sana Watanzania wote mlionipigia kura, sina cha kuwalipa zaidi ya Asante. Nashukuru wote mnaoendelea kuamini kuhusu JayDee Tuko pamoja siku zote.
Bahasha imeandikwa Mwimbaji Bora wa Kike, ambayo kwa kidhungu nadhani ni Best Female Vocalist. Tuzo hiyo alipewa mtu mwingine Linah wa THT.


Tuzo niliopewa mimi iliandikwa Female Artist of the Year ambayo ni Msanii Bora wa Kike wa Mwaka. Nadhani ubinaadam tu hapo umepita kama kuna fotauti na imani zitarekebishwa, kama yangu ina mpunga zaidi basi wataniongezea tu! Wink!!


Bahasha ya kwanza inanihusu nahakika ila ya pili ilioandikwa Best East African song sina hakika sana kama tunagawana na Kidum au kila mtu kapewa ya kwake??? Sina taarifa za undani, itabidi mzigo niuhifadhi nisijeanza kuutumbua mara naambiwa si zangu Mwaka Flani hivi nakumbuka wimbo wa Anita niliofanya na Matonya ulipata kuwa Wimbo bora wa Mwaka zikatoka Trophies 2 na kila mtu akapata fungu la pesa kiasi.


Sijajua kama na kwa wimbo huu niliofanya na Kidum itakuwa hivyo au mwaka huu ni tofauti manake kila mwaka mambo huwa yanabadilika kwenye Tuzo hizi

Huyu ni shabiki wa Machozi Band na Jay Dee aliyejitoa muhanga kwenda kupokea Tunzo za Jay Dee......... Info zaidi tembelea www.ladyjaydee.blogspot.com

SHUKRANI KWA WATANZANIA WOTE WALIOMUWEZESHA KULAMBA TUNZO MBILI.


Hongera JCB kukumbuka kutoa shukrani kwa wale waliokuwezesha kusanuka na tunzo mbili. Mengi yamejitokeza kwenye Tunzo za Kili Music Awards 2011. Nyote mmeona wapi palipwaya na wapi palikuwa sawa. Zaidi tunaitaji kwenda mbele ya hapo. Kwa leo sisemi lolote kwani kila mwaka nasema sana.


Hongera pia kwa msanii 20% kwa kuibuka na Tunzo 5. Umevunja Rekodi Bro!!!!!!!!!! Pia Hongereni sana wote mliofanikiwa kupata Tunzo.

SNOOP DOGG AMUENZI NATE DOGG KWA TATTOO.

Snoop ametafuta njia nzuri ya kumuenzi is Best friend Nate Dogg, aliyefariki mapema mwezi huu. The "Gin and Juice" rapper kagonga tattoo kwenye mkono wake yenye maneno "All Doggs go to Heaven". Pia Snoop kafunguka kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa "Tha tattoo u been waitin 2 c. My bro Nate Dogg by @Misterctoons," Huku ameongeza kwa kusema :- "We lost a true legend in hip hop and R&B, One of my best friends and a brother to me since 1986, when I was a sophomore...I love u buddy luv. U will always be with me forever and a day. You put the 'G' in G funk. You put the '1' n 213. And you put yo stamp on everybody you ever did it with." Snoop, The Game, na Warren G walikuwa ni kati ya wasanii kibao wa hip hop kwenye memorial service ya Nate Dogg siku ya Jumamosi. R.I.P

Wednesday, March 23, 2011

HAPPY B'DAY RUBEN NDEGE "NCHA KALI"


NI TANZANIA URBAN MUSIC OR TANZANIA FLEVA UNIT???

MR. II a.k.a Sugu mwakilishi wa Tanzania Urban Music (TUMA), ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya mjini. Tuma ni chama cha wasanii wa Muziki wa kizazi kilichosajiliwa kisheria na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).

Mkubwa Said Fella Mwakilishi wa FLEVA UNIT, ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK WANAUME lenye makazi yake Temeke jijini Dsm. FLEVA UNIT ni kampuni ambayo imesajiliwa na msajili wa makampuni Nchini (BRELA).
Mpaka hapa me bado najiuliza mwisho wa hili ni nini???? Hii ni baada ya mchakato na malumbano ya muda Mrefu kuhusu Mastering Studio aliotoa Mh. JK kwa wasanii miaka mitatu iliyopita.
Kwa mujibu wa Vyanzo vya Habari ni kuwa Fleva Unit ilipewa Usajili wiki moja iliyopita, Je swali ni kuwa muda wote huo nini kilikuwa kinaendelea? na hivyo vifaa vilikuwa wapi? Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa BASATA Bw. Materego anasema TUMA ndio chama pekee kinachotambulika na BASATA.
JK katoa msimamo wake kuhusu Studio hiyo kuwa aliitoa kwa watu waliomuomba . Je huu msimamo na Kauli ya Mh. JK iliyowakilishwa na Mkurugenzi Msaidizi Sanaa Bi. Ngowi inalenga nini ? Tulitumaini kupata Umoja wa wasanii Tz kwa maendeleo ya Muziki wa Kikazi Kipya kwani Rais ni wa Watanzania Wote!!! Nilitegemea hiyo Studio ingewekewa utaratibu ili iwasaidie Wasanii wote na sio waliomba tu kwani wote wanaihitaji huo msaada.
Kwa mtazamo wangu mpaka hapo Tumeshajenga makundi katikati ya INDUSTRY na hata inaweza kuleta uhasama kati yetu. Muziki huu bado una matatizo mengi sana so kama tumeanza hapa kwa hivi tutayamaliza?????????????
Ni jukumu la WIZARA husika na BASATA kuokoa hili JAHAZI na si vinginevyo!!!!!!!!!!!!!!

Tuesday, March 22, 2011

SAD NEWZ KWA WAPENZI WA TAARABU HASA WA KUNDI LA FIVE STARS MODERN


HII NI KWA WOTE WAPENZI WA MUZIKI WA TAARAB NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA AMBAO TUNAUNGANA KWA PAMOJA NA KUTOA POLE KWA FAMILIA, NDG, JAMAA NA MARAFIKI WA KARIBU WA BENDI MAARUFU YA MUZIKI WA TAARAB NCHINI, FIVE STARS KWA KUPOTEZA BAADHI YA WANAKIKUNDI KWENYE AJALI MBAYA YA GARI JANA HUKO MOROGORO NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA SANA.

KATI YA NYIMBO AMBAZO ZIMEFANYA VIZURI SANA KWA MWAKA 2010/2011 NI ULE WA MCHUMU ,,MCHUMU,,, MCHUMU MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH......... MCHUMU TENA MWAAAAAAAAAAH!!!!!!!!!!! HATA KAMA WEWE SI MPENZ WA TAARAB LAKINI WIMBO HUU SI MGENI MASIKIONI KWAKO.

MUNGU ZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA!!!!!

Monday, March 21, 2011

ALWAYS WE'LL LOVE YOU NATE.WYCLEF JEAN APINGWA RISASI YA MKONO.


Legend wa Hip Hop mwenye Asili ya Haiti Wyclef Jean apingwa Risasi siku ya Uchaguzi wa Rais March 20th na kukimbizwa Hospital kwa matibabu zaidi.

News ni kwamba Mtu mzima alikuwa kwenye Ndinga wakikatiza mitaa fulani na wanae akiwemo Busta Rhymes, Jimmy Rosemond na washikaji wengine ambapo walimiminiwa Risasi ,lakini hakuna Abiri aliyejeruhiwa zaidi ya Wyclef kwenye mkono wake wa kulia. Mkono ambao uli-make headline ya U-Star kwa kuchalanga gitaa.

Kwasasa Wyclef Jean the hip-hop star has been released from the hospital baada ya matibabu poa.

Friday, March 11, 2011

HAPPY B'DAY ANSELM SOGGY DOGGY A.K.A CHIEF-RUMANYIKA.

Chieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeef Rumanyika ni jina litokalo kwenye moja ya ma-chief maarufu wa kabila la wahaya... Rumanyika ni kitu kijulikanacho kama sijakosea.... Nway leo ndio siku ya mtu mzima SoggyDoggy kutupia mwaka mwingine juu ya hizo alizonazo kwa sasa... So kama wadau wa muziki tunajua mchango mkubwa wa Soggy ktk hii Industry ya BongoFleva ,nini kafanya na anafanya mpk hapa tulipo.

Bila hiyana kwa pamoja tumtakie maisha mema na marefu sana ... HAPPY B'DAY CHIEF.

P.DIDDY ATUPIA # 1 HIP HOP ARTIST MILLIONARE.

Sean Diddy Combs ama P.Diddy anaongoza kwa mkwanja mrefu saaaaaaaaaaaaana kwa wana Hip Hop Duniani,,. Baada ya kumtupa kule Jay -z kwa zaidi ya Dolla milioni 25... daaaaaaaaaaaah ametisha sana Didy kwa huo mkwanja wa 475 Million $.

Hapa kati ni Jay-Z mwanaharakati ambaye ametupwa # 2 kwa utajiri wa $ million 450, akifatiwa na Dr. Dre huku # 4 ni our Bro 50 Cent na # 5 ni Father wa Young Money Birdman/Baby.
Hao ni tano bora wa Hip Hop Artist wanaongoza kwa mkwanja Mrefuuuuuuuuuuuu Duniani.

Wednesday, March 9, 2011

ALWAYS WE LOVE U BIG POPPA.... NATORIOUS!!

Christopher George Latore Wallace (May 21, 1972 – March 9, 1997) ni mmoja kati ya American rapper ambao hawatasahaulika Duniani. He was popularly known as Biggie au Big Poppa (But mwanzoni alikuwa na jina la stage known as The Notorious B.I.G..

B.I.G alikulia kitongoji cha Brooklyn borough pale kati New York City. kama September 13, 1994 alidondosha mzigo wake wa kwanza ambao mauzo yake yalifika Platinum kwa 2 Hit singles (BIG POPPA n' 1 MORE CHANCE), duuuh bonge moja la album goes by the name of Ready to Die ambayo ilimfanya awe "Central figure" katika East Coast hip-hop scene na kuongeza New York's visibility kwani time hizo West Coast artists walikuwa common sana katika game.


Kila ifikapo March 9, Dunia ukumbuka kifo cha B.I.G kwani tarehe kama ya leo mwaka 1997, B.I.G was killed in a drive-by shooting in Los Angeles. Na siku 15 baada ya kifo chake waliachia His double-disc set Life After Death, ambayo ilikuwa, hit #1 on the U.S. album charts na kutunukiwa hati ya Diamond mwaka 2000 (ni moja kati ya Albam za hip hop chache kupata hiyo certificate).. Toka kifo chake Albamu mbili zaidi have been released. Na MTV ranked him kama #3 kwenye list ya The Greatest MCs (Rappers) of All Time.

SO LEO TUNAADHIMISHA MIAKA 14 TOKA KIFO CHA BIGGIE:-


BIRTH NAME: Christopher George Latore Wallace

A.K.A: Biggie Smalls, The Notorious B.I.G., Big Poppa

BORN: May 21, 1972(1972-05-21)
New York City, New York, United States

DIED: March 9, 1997(1997-03-09) (aged 24)
Los Angeles, California, United States


GENRES: Hip hop

OCCUPATIONS: Rapper, songwriter
Years active 1992–1997

LABELS: Bad Boy

ASSOCIATED ACTS: Lil' Kim, Sean Combs, Junior M.A.F.I.A., Total, 112, The Commission

Tuesday, March 8, 2011

HAPPY B'DAY LAMAR DA PRODUCER!!!Leo ni siku ya kuzaliwa kwa CEO wa FishCrab na Producer mkali ever LAMAR NIEKAMP kama ambavyo kajitupia kwenye wall yake ya facebook.. "the number 1 prod on tha planet AND AM AMONG THE WORLD CLASS PRODUCERS"......... Pia ni wakati wa kumsababishia kura yako kwenye Kili Music Awards kama Best Producer!!!!
HAPPY B'DAY DA # 1 Prod on da Planet!!!!!!!!!!!!!!

--------------------------------------------------------------------------------

Friday, March 4, 2011

NEW BLOG FROM MBEYA CITY.........."THE GREEN CITY".....

Tunapenda kulitambulisha wadau wote libeneke jipya la Mbeya Yetu ambapo nia na malengo ni kuwaletea habari mbali mbali kutoka Jijini Mbeya, Tanzania na Duniani kwa Ujumla ikiwa unatukio la aina lolote usisite kututumia kupitia mbeyayetu@yahoo.com . karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.

Kwa pamoja tunaweza.

Tuesday, March 1, 2011

HAPPY BIRTHDAY JUSTIN BIEBER....!! NA MZIGO TUMEUONA

Kama leo ni siku yako ya kuzaliwa basi unashare mzigo na Justin Bieber!!!!!!!! Lakini kubwa zaidi kwenye picha ni dogo na mzigo wake mpya unaoitwa Selena Gomez . Ambao kwa mara ya kwanza Dogo aliamua kufunguka kweupeeeeee na ku-made their first public appearance kama couple kwenye 2011 Vanity Fair Oscar party.

Ki-bongo bongo duuuuuuuuuuh inge-make headline mbaya kwani ndio kwanza Dogo anafikisha miaka 17 banaaaa!!!!!!!!!!!!. Nway Happy Birthday JB na wewe ulishare day nae!!!!!!!!!!!!

GIZZLE ON DEMAND..........!!!!!!!!!!!!!!!!

Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeaaaaaah Man !!!!!!! Wadau niaje bana? unajua leo si ndio 1/03/2011.....?????? am the Hero of this Month kila mwaka kwani ndio mwezi unaonikumbusha siku zinaenda mbele ....................... Kila katikati ya mwezi yaaaaaaaaani 15th March Historia mpya inaandikwa katika maisha yangu...... SO KAMA KITU CHA 2011 ITAKUWA TOFAUTI SANA!!!!!!!!!! Keep in touch bana n' all da Best ..... ME,I n' MYSELF LOVE U ALL!!!!!!!!!!