Thursday, February 10, 2011

SHEHEREKEA MIAKA 7 YA LEO TENA, KWA RAHA ZETU NA MIAKA 3 YA KLABU 10. KUPITIA RADIO YA WATU CLOUDS FM.

Nakumbuka kipindi hicho cha Marehemu AMINA CHIFUPA ( Mungu akulaze mahala pema peponi Amina), kabla ya kuwa Mbunge sauti yake ilikuwa inanifanya kutaka kujua sura na umbo lake, Lakini leo tena ilizidi kufanya poa baada ya kutua mjengoni kutoka A-Town mwanadada Dina Marios (Nampenda saaaaaaaana huyu Mdada sijui ni kwanini?) na mpaka sasa inafanya poa siku hadi siku......... HONGERENI SANA TIMU YA LEO TENA NA KAZENI BUTI.

Nikizungumzia Klabu 10 ni moja ya kipindi kilichonihusu sana, that tyme kinaendeshwa na swahiba wangu wa karibu mkali Jack Kinyaiya........Daaaaaah ni kipindi ambacho kilinifanya kuAct as a indirect Producer kuanzia kuandaa Topics na njinsi ya kuzipresent (swagga), kwani those time nilikuwa karibu sana na JACK, so akawa anakuja nampatia madini ya kutosha then anafunguka,, NCHA KALI chukua hiyo....................!!!!!! Hata baada ya Jack bado kinafanya poa sana japo nimepata bahati ya kumsikiliza New Presenter mwenye skillz za ukweli PG KWEKA.

BIG UP KWA KAZI NZURI WOTEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!! HAPPY ANNIVERSARY .. TABASAMU 2011

No comments:

Post a Comment