Monday, February 7, 2011

JAFFARAI Vs SUGU .....HIVI KUNA KITU KINAENDELEA NYUMA YA HII SKENDO ?????????

Huyu ni Jaffarai bonge moja la msanii wa Hip Hop hapa Bongo akiwakilisha kundi la Wateule.... Nway mpango mzima ni hivi.. Toka last wiki Vyombo vingi vya Habari hapa Bongo (Radio na Magazeti) vimekuwa vikifunguka na Issue hii ambayo inaonekana kukua siku hadi siku, Hapa nazungumzia Skendo ya Jaffarai kulalamika kumegewa Tunda lake na Mr. 2 a.k.a Mh. Sugu.

Kupitia Facebook pia niliona status kibao za Jaffarai akimu-accuse Shy-Rose kuwa ni blaa blaa...... kwa mtazamo wa fasta utajua jamaa alipaniki sana ndio maana kaamua kufanya mambo kwa pupa na bila kufikiria faida na Hasara yake!!!

Huyu ni Shy-Rose anafahamika zaidi kama MwanaHarakati hapa Tzee, mpk sasa kapiga kimya bila kufunguka kujibu lolote kuhusu hii skendo . Je Media mliochonga na Jaffarai mmejaribu kumtafuta hili kusikia Chochote kutoka kwake?

Mh. Sugu, Mbunge kipenzi wa Vijana hapa Tanzania na hasa jimboni kwake Mbeya, ndio mtuhumiwa no. 1 wa Jaffarai..... Mpk sasa Hatujasikia lolote kutoka kwake kupitia Media Yoyote. Swali najiuliza ni sababu gani Sijamsikia Mh. kuzungumzia hili?

Hapa ni Sugu na Shy-Rose katika Harakati zao!!! Nway kwa mtazamo wangu ni kuwa Jaffarai hajakulupuka kumuanika Sugu kwa sababu Sugu kuwa SUGU!!!!!!!!! Ila kwakuwa Sugu ni Mbunge na ndio maana alisema anatumia ubunge wake kuwamegea washikaji mademu zao...So bado nina Swali kuna kitu KIPO NYUMA YA HII SKENDO??? kwa fasta kama Sugu asipofunguka kwa Rai kuzungumzia ili, inaweza kuwa skendo ambayo inaweza kumchafulia kwa namna moja au Nyingine.... TUKUMBUKE SKENDO YA CLINTON NA MONICA!!!!!!!!! VIPI MCHEZA GOFU MAARUFU DUNIANI TIGGER WOODS ALIVYODROP SANA KWA SKENDO YAKE YA NGONO? So pia Watu maarufu ni kioo cha Jamii hivyo smtyme wawe makini sana kwa kila wanachofanya otherwise Tutashusha P..... So Mh. SUGU funguka tusikie lolote kutoka kwako!!!

No comments:

Post a Comment