Monday, February 28, 2011

HASHEEM THABEET ATUA NDANI YA HOUSTON ROCKETS


Houston Rockets imetangaza rasmi kuwa Mtanzania Hasheem Thabeet anayechezea ligi ya NBA nchini Marekani amejiunga na timu yao toka Memphis Grizzlies ya mjini Memphis-Tennessee kwa makubaliano maalum ya kubadilishana wachezaji.

Hasheem aliyekuwa anakipiga Memphis Grizzlies toka 2009 amejiunga na Houston Rockets kwa kubadilishana na wachezaji wawili ambao ni Shane Battier na Ish Smith kwa lengo la kuziba pengo la mcheza kikapu mrefu kuliko wote , Mchina Yao Ming (urefu wa futi 7 na inch 6) ambaye ni majeruhi kwa sasa.

Yeeeeeeeeeeaaaaaaaah Man Go Thabeet it's ur time to shine for TANZANIA.....

No comments:

Post a Comment