Monday, February 28, 2011

HASHEEM THABEET ATUA NDANI YA HOUSTON ROCKETS


Houston Rockets imetangaza rasmi kuwa Mtanzania Hasheem Thabeet anayechezea ligi ya NBA nchini Marekani amejiunga na timu yao toka Memphis Grizzlies ya mjini Memphis-Tennessee kwa makubaliano maalum ya kubadilishana wachezaji.

Hasheem aliyekuwa anakipiga Memphis Grizzlies toka 2009 amejiunga na Houston Rockets kwa kubadilishana na wachezaji wawili ambao ni Shane Battier na Ish Smith kwa lengo la kuziba pengo la mcheza kikapu mrefu kuliko wote , Mchina Yao Ming (urefu wa futi 7 na inch 6) ambaye ni majeruhi kwa sasa.

Yeeeeeeeeeeaaaaaaaah Man Go Thabeet it's ur time to shine for TANZANIA.....

NI YULE YULE DAVINA WA BONGO NA STREET DREAMZ NA SIBUKA FM 94.0

Back in Dayz pale kati miaka ya 2007 hivi nilimsoma kwenye Bonge bonge moja la show kupitia Star Tv iliyokwenda na jina la SHOW BIZZY DEFINED................. Sijui ilikuaje ikastop banaaaa!!!!!!!!!!

NOW!! Mwana dafada wa ukwenga kwenye industry ya Hip Hop hapa bongoooooooooooo anarudi na show nyingine tena pale Sibuka Fm 94.0 MHz.. kuanzia saa 8 mpk 9 mchana kila Mon, Tues na Wensdays baaaaaaaaaaana...... goes by the name of STREET DREAMZ.!!!

Naisubiria kwa hamu sana saaana wadau... si ya kukosa hii maaaaaaaaaaaaaaaaaaan...!!!!!!!!!!!!

Thursday, February 10, 2011

SHEHEREKEA MIAKA 7 YA LEO TENA, KWA RAHA ZETU NA MIAKA 3 YA KLABU 10. KUPITIA RADIO YA WATU CLOUDS FM.

Nakumbuka kipindi hicho cha Marehemu AMINA CHIFUPA ( Mungu akulaze mahala pema peponi Amina), kabla ya kuwa Mbunge sauti yake ilikuwa inanifanya kutaka kujua sura na umbo lake, Lakini leo tena ilizidi kufanya poa baada ya kutua mjengoni kutoka A-Town mwanadada Dina Marios (Nampenda saaaaaaaana huyu Mdada sijui ni kwanini?) na mpaka sasa inafanya poa siku hadi siku......... HONGERENI SANA TIMU YA LEO TENA NA KAZENI BUTI.

Nikizungumzia Klabu 10 ni moja ya kipindi kilichonihusu sana, that tyme kinaendeshwa na swahiba wangu wa karibu mkali Jack Kinyaiya........Daaaaaah ni kipindi ambacho kilinifanya kuAct as a indirect Producer kuanzia kuandaa Topics na njinsi ya kuzipresent (swagga), kwani those time nilikuwa karibu sana na JACK, so akawa anakuja nampatia madini ya kutosha then anafunguka,, NCHA KALI chukua hiyo....................!!!!!! Hata baada ya Jack bado kinafanya poa sana japo nimepata bahati ya kumsikiliza New Presenter mwenye skillz za ukweli PG KWEKA.

BIG UP KWA KAZI NZURI WOTEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!! HAPPY ANNIVERSARY .. TABASAMU 2011

Wednesday, February 9, 2011

CLUB BILICANAS ITAWAKA MOTO ON 15th FEB

ONE STAGE & IT'S LIVE..................... Hapa T.i.D na Top Band Pale ni Banana Zorro na B Band sipati picha kabisa moto huu utakuaje that day.............................. Si ya kukosa hii jamaaaaaaaaa buku ten(10,000) tuuuuuuuuuuuuu

Tuesday, February 8, 2011

BONGO FLAVA ENTERTAINMENT EVENTS,

Hapa ni LAUNCHING ya Albam ya mtu mzima CPWAA yaani "PWAA The Albam" pale kati New Maisha Club This Sunday ya 13 Feb..... Baaaaana hii si ya Kukosa kwa wapenzi wote wa maendeleo ya Muziki wetu wa kitanzania.


Wana wote pale kati hii ni GRAND TOUR IN INDIA....... hajah jah jah namzungumzia King Kong a.k.a Chid Benz ambaye ni mkali wa Hip Hop kutoka Ilalaaaaa Tz mpk India stand up, Put ur Hands uppppppppppppppppppppp!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Rhaaaaaa rhaaaaaaaaaaaaa Chii Chii Chii Chii Chii Chid Beeeeeeeeeeeeenzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!

MDAU UNAPATA PICHA GANI HAPA UKITAZAMA HIZI NYUSO ZA MASTAA HAWA????

Hapa ni Mwasiti Almasi, Chid Benz Akiwakilisha La Familia kutoka Ilala na Chegge Chigunda mtoto wa mama Saidi kutoka TMK..... So swali langu ni kwamba ni nini unapata ukiona sura hizi kwa fasta fasta?

Monday, February 7, 2011

NGOMA MPYA YA SOLO THANG NA JAY MOE....

Ni wakali kuwakilisha kundi la Wateule toka kitambo wamesuka bonge bonge moja la ngoma kali kutoka pale Tongwe records, Hii ni ya aina yake kwani ni umoja wa familia ya sollo thang wakiwa wamempa shavu Jay Moe Pale kati. Fanya kuitafuta hii ngoma au sikiliza Hapo Pembeni ni soo!!!!!!!!!

JAFFARAI Vs SUGU .....HIVI KUNA KITU KINAENDELEA NYUMA YA HII SKENDO ?????????

Huyu ni Jaffarai bonge moja la msanii wa Hip Hop hapa Bongo akiwakilisha kundi la Wateule.... Nway mpango mzima ni hivi.. Toka last wiki Vyombo vingi vya Habari hapa Bongo (Radio na Magazeti) vimekuwa vikifunguka na Issue hii ambayo inaonekana kukua siku hadi siku, Hapa nazungumzia Skendo ya Jaffarai kulalamika kumegewa Tunda lake na Mr. 2 a.k.a Mh. Sugu.

Kupitia Facebook pia niliona status kibao za Jaffarai akimu-accuse Shy-Rose kuwa ni blaa blaa...... kwa mtazamo wa fasta utajua jamaa alipaniki sana ndio maana kaamua kufanya mambo kwa pupa na bila kufikiria faida na Hasara yake!!!

Huyu ni Shy-Rose anafahamika zaidi kama MwanaHarakati hapa Tzee, mpk sasa kapiga kimya bila kufunguka kujibu lolote kuhusu hii skendo . Je Media mliochonga na Jaffarai mmejaribu kumtafuta hili kusikia Chochote kutoka kwake?

Mh. Sugu, Mbunge kipenzi wa Vijana hapa Tanzania na hasa jimboni kwake Mbeya, ndio mtuhumiwa no. 1 wa Jaffarai..... Mpk sasa Hatujasikia lolote kutoka kwake kupitia Media Yoyote. Swali najiuliza ni sababu gani Sijamsikia Mh. kuzungumzia hili?

Hapa ni Sugu na Shy-Rose katika Harakati zao!!! Nway kwa mtazamo wangu ni kuwa Jaffarai hajakulupuka kumuanika Sugu kwa sababu Sugu kuwa SUGU!!!!!!!!! Ila kwakuwa Sugu ni Mbunge na ndio maana alisema anatumia ubunge wake kuwamegea washikaji mademu zao...So bado nina Swali kuna kitu KIPO NYUMA YA HII SKENDO??? kwa fasta kama Sugu asipofunguka kwa Rai kuzungumzia ili, inaweza kuwa skendo ambayo inaweza kumchafulia kwa namna moja au Nyingine.... TUKUMBUKE SKENDO YA CLINTON NA MONICA!!!!!!!!! VIPI MCHEZA GOFU MAARUFU DUNIANI TIGGER WOODS ALIVYODROP SANA KWA SKENDO YAKE YA NGONO? So pia Watu maarufu ni kioo cha Jamii hivyo smtyme wawe makini sana kwa kila wanachofanya otherwise Tutashusha P..... So Mh. SUGU funguka tusikie lolote kutoka kwako!!!