Wednesday, December 1, 2010

HIVI NI KWELI GARDNER G HABASH KUITEMA CLOUDS FM?

Captainnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn.......... ndio jina nimelizoea kulisikia kwa sauti yenye tetemeko kali masikioni mwangu kama mdau mkubwa wa Jahazi ya Clouds Fm kuanzia saa 10 jioni hadi saa 1 usiku ..... Daaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhh kwangu ni kama Breaking Newz ambayo imenipatia shock nilipopitia kwa blog ya my dada Dina Marios.... Kuwa mtu mzima katangaza kuacha kazi ya Utangazaji Clouds Fm..

Kwa info Zaidi chungulia www.dinamarios.blogspot.com

No comments:

Post a Comment