Thursday, December 23, 2010

HAPPY BIRTHDAY YOUNG DEE.... LAKINI NI KWELI UNATAKA KUSEPA FISHCRUB?????

Young Rapper a.k.a Young Dee leo kama anafikisha miaka kadhaa toka adondoke hapa Duniani... Ni siku njema kwako kujumuika na wadau wa Muziki wetu kum- wish HAPPY BIRTHDAY... !! Na maisha mema na marefuuuuuuu kwa bwana mdogo mwenye jina town, hapo kati ni Sharobaro Diamond Platnium waki-show LOVE kwenye moja ya bata za town.............

Huyu ni moja ya Producers wanao-make headline in East Africa kutoka pale Fishcrub kitaa cha K/Koo anefahamika kama Lamar (Best Prd of the Yr ... Kili Awards 2010). Ni moja kati ya watu Muhimu sana kwa mafanikio ya Young Dee kimuziki na ni kati ya watu waliogundua kipaji cha Dogo na kutoa support ya kumsogeza mpk hapa (Next Level)... Hii ikiwa ni kusainisha (sign) kwenye lebo yake na kutoa support tosha sana....... Point ya msingi hapa ni kuhusu nyunyuziii zilizopo kitaani kuwa....................................>>>>>>

Kutoka mikononi mwa Super Duppa Prodcr (P-Funk Majani) Lamar became Hitmaker day after day though alipitia pale kati kwa Dunga (41 Rec) na mwishowe kuingia mjengoni kwake (FishCrub).... Na kupitia mikono yote hiyo bado anam-Apriciate P-Funk Mbayaaaaaaaaaaaa....


.......>>>>>kuwa bwana mdogo Young Dee anataka jisepesha mbele kwa mbele na kumwacha Boss wake (Lamar) patupu bila hata Taarifa , kwani Lamar alipoulizwa alisema hajui chochote bana kuhusu hilo.... Inawezekana ni uzushi wa mwisho wa mwaka????????????????? Au lisemwalo lipo??????????????????

Last time (Miezi michache iliyopita) Unakumbuka nlifanya interview na Young Dee pale Authentic Studio na mengi sana alizungumzia ikiwamo na ujio wa Albamu yake mpya ambayo ameidondosha hivi karibuni..... But nilipojaribu kuulizia mpango wake na Boss wake aliniambia wapo poa kama kawa......


Anitwa Erasto Mashine , mmoja ya watu wanaofanya kazi kubwa sana pale Authentic Studio na kweli jamaa nilisikia madini yake anatishaaaaaaaaaaaaaaaa mbaya.. na mpk naondoka nilionjeshwa ngoma mbili za Young Dee ambazo zimepitia mikononi mwake (KIATU NA CARRIED AWAY) Bonge moja la ngomazzz!!!!
Sasa bana huyu ndio Boss wa Authentic Studio....... Anakwenda kwa jina la MAX , Huyu jamaa ni Noumer ni Noma niaje.. ni Producer mpya ambaye atatishia Game ya Bongo hivi soon.. Ukijua anafanya nini kwa sasa au ukibahatika kusikiliza kazi zake kwa ujumla utakaa paaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Nilipiga nae Interview pale kati na kuniambia kwa sasa yeye ni Trainer wa Young Dee, ila kilichopo kitaa ni kuwa ndio mtu ataye mmiliki Young Dee kutoka kama kweli atatoka kwa Lamar.... Nilijaribu kumtafuta Young Dee kusema lolote but ndio hivyo # yke ilikuwa Busy time zote (Super Star wa Bongo Unawajua).. But nina imani atasoma hapa na kunitafuta ili kunipa Ukweli.... (Max wewe ntakutafuta baadae)......... HAPPY B'DAY YOUNG DEE!!!

No comments:

Post a Comment