Monday, December 13, 2010

ENZI ZA UJANA WANGU, HAJAH JAH JAH JAH JAH..........!!!!!!!!!!!

Nimepitia moja ya kabrasha zangu na kukutana na hizi posters za Zantel.... Sijui unakumbuka hapa???????? Enzi hizo bado mdogo dogo hivi na still nina-Energy ya kudank, kudribo na vitu ka hizo na ZANTEL KEEP TALKING.......................................

Nakumbuka pale kati Mlimani City jua kali wajanja tukapiga mzigo (pesa nzuri eeeh) busy busy busy na Dough... Babuu wa Kitaa kama sterling hivi afu wengine wanakamilisha picha hapo kati.... ZANTEL hiyoooooooooooooooooooooooooooooooooo keep Talking Na MZUKA jamani!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment