Monday, December 6, 2010

DAVIS NTARE KINARA WA TPF4...... (Kshs 5 MILLION)Baada ya kukaa mjengo kwa wiki 8 hatimaye Finali za Tusker Project Fame season 4 zimefanyika jana usiku, ni tukio la kihistoria linalowaleta wana Afrika Mashariki pamoja katika usiku wa Muziki....

Kutoka Ug Davis Hillary Ntare, ambaye ali-perform ngoma ya Michael Jackson '"Billie Jean" ndio alibuka kidedea kwa kuchaguliwa na wana East Africa kama winner of Tusker Project Fame 4,

Kwa kuwabwaga Amileena Mwenesi na Stephen Nyabwam (Steve) kutoka Kenya, na Peter J Msechu kutoka Bongo - Tanzania.
Kaondoka na mzigo wa maana kuupeleka kwa Waganda (Kshs 5 million cash prize), pia kapata one-year deal with South Africa's Gallo Records company, Premier Plus Medical cover from Resolution Health, one-year subscription to Adam Magazine, a laptop and a one year free internet connection from KDN na nyingine kibaoooooooooooooooooooooooooo..... Huku akifuatiwa na mwanetu kutoka kitaa cha kati Bongo - Tz P. Msechu.......


Bro ni wakati wako sasa, Prove for East African kuwa we ni mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii au mkareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama ulivyoacha mark pale kati ya stage kupitia TBC 1 LIVE......


No comments:

Post a Comment