Friday, December 31, 2010


   Happy new year to all friends all over the world,"we should thank God that we got there".Many men wish they could but they couldn't "may their souls rest in internal peace.""amen"."hopefully 2011 we gon knockyy it damn".....

Thursday, December 23, 2010

HAPPY BIRTHDAY YOUNG DEE.... LAKINI NI KWELI UNATAKA KUSEPA FISHCRUB?????

Young Rapper a.k.a Young Dee leo kama anafikisha miaka kadhaa toka adondoke hapa Duniani... Ni siku njema kwako kujumuika na wadau wa Muziki wetu kum- wish HAPPY BIRTHDAY... !! Na maisha mema na marefuuuuuuu kwa bwana mdogo mwenye jina town, hapo kati ni Sharobaro Diamond Platnium waki-show LOVE kwenye moja ya bata za town.............

Huyu ni moja ya Producers wanao-make headline in East Africa kutoka pale Fishcrub kitaa cha K/Koo anefahamika kama Lamar (Best Prd of the Yr ... Kili Awards 2010). Ni moja kati ya watu Muhimu sana kwa mafanikio ya Young Dee kimuziki na ni kati ya watu waliogundua kipaji cha Dogo na kutoa support ya kumsogeza mpk hapa (Next Level)... Hii ikiwa ni kusainisha (sign) kwenye lebo yake na kutoa support tosha sana....... Point ya msingi hapa ni kuhusu nyunyuziii zilizopo kitaani kuwa....................................>>>>>>

Kutoka mikononi mwa Super Duppa Prodcr (P-Funk Majani) Lamar became Hitmaker day after day though alipitia pale kati kwa Dunga (41 Rec) na mwishowe kuingia mjengoni kwake (FishCrub).... Na kupitia mikono yote hiyo bado anam-Apriciate P-Funk Mbayaaaaaaaaaaaa....


.......>>>>>kuwa bwana mdogo Young Dee anataka jisepesha mbele kwa mbele na kumwacha Boss wake (Lamar) patupu bila hata Taarifa , kwani Lamar alipoulizwa alisema hajui chochote bana kuhusu hilo.... Inawezekana ni uzushi wa mwisho wa mwaka????????????????? Au lisemwalo lipo??????????????????

Last time (Miezi michache iliyopita) Unakumbuka nlifanya interview na Young Dee pale Authentic Studio na mengi sana alizungumzia ikiwamo na ujio wa Albamu yake mpya ambayo ameidondosha hivi karibuni..... But nilipojaribu kuulizia mpango wake na Boss wake aliniambia wapo poa kama kawa......


Anitwa Erasto Mashine , mmoja ya watu wanaofanya kazi kubwa sana pale Authentic Studio na kweli jamaa nilisikia madini yake anatishaaaaaaaaaaaaaaaa mbaya.. na mpk naondoka nilionjeshwa ngoma mbili za Young Dee ambazo zimepitia mikononi mwake (KIATU NA CARRIED AWAY) Bonge moja la ngomazzz!!!!
Sasa bana huyu ndio Boss wa Authentic Studio....... Anakwenda kwa jina la MAX , Huyu jamaa ni Noumer ni Noma niaje.. ni Producer mpya ambaye atatishia Game ya Bongo hivi soon.. Ukijua anafanya nini kwa sasa au ukibahatika kusikiliza kazi zake kwa ujumla utakaa paaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Nilipiga nae Interview pale kati na kuniambia kwa sasa yeye ni Trainer wa Young Dee, ila kilichopo kitaa ni kuwa ndio mtu ataye mmiliki Young Dee kutoka kama kweli atatoka kwa Lamar.... Nilijaribu kumtafuta Young Dee kusema lolote but ndio hivyo # yke ilikuwa Busy time zote (Super Star wa Bongo Unawajua).. But nina imani atasoma hapa na kunitafuta ili kunipa Ukweli.... (Max wewe ntakutafuta baadae)......... HAPPY B'DAY YOUNG DEE!!!

Wednesday, December 22, 2010

MY LOV IS UR LUV?? PLACE TO BE.........


Campus Connect” is the romantic late night radio show…aired on 106.5 Radio Mlimani of Dar es Salaam University @ 22;00pm-00;00am in every Mondays and Wednesdays…Shamimu Mlacha aka Shaney is the host of this show..”Campus Connect” talks about love and relationships, building love awareness to youths and adults, teach people how to behave in love and to forgive…”Campus Connect” is the place of comfort to broken hearted people…slow jams, soul music & all good music here is the place to be…This is ”Campus Connect”…we believe in TRUE LOVE.Lets be there!!For anything please use contacts below….Don't u ever miss this show...Contacts;


Email;shamimumlacha@yahoo.com


www.facebook.com/campasconnect

Tuesday, December 21, 2010

KATI YA VITU VILIVYONI-IMPRESS KATIKA PROFILE YA DJ FETTY "fb"Hii ni moja ya Pix niliyoikuta kwa wall ya Dj Fetty au feeeh wa clouds Fm pale kati FaceBook!!! ya ku-wish Happy New Year 2011.. Sina uhakika sana kama ameitengeneza yeye kwani nimekuta kama design wamem-tag hiviii,,,, Ni moja ya gud idea na very creative kwa aliyehusika hapa anastahili pongezi si tu kutoka kwangu hata kwako wewe mdau... si inavutia???


Hii pia kama design kiapo cha Mdau mpya anayetaka join facebook...... hayaaaaaaaaaaaaaaa huu si utata huu.. Embuuuuuuuuuuuuuuuuuu jaza Tuoneeee

Wednesday, December 15, 2010

AZMA WA UMABE ATOA NGOMA MPYA YA X-MAS NA MWAKA MPYA KUWA-WISH MASHABIKI..


Bro kanitumia mail asbh ya leo na me pia nimeifanyia kazi so umebaki wewe kuisikiliza ili ku-prove kuwa jamaa ni mkali hasa alivyochana kwenye ngoma yake ya My name is Hip Hop.......................................................................................
Hii ndio email niliyopokea toka kwake.. thanx Bro kwa kuona mchango wangu kwako. Nipo nyuma yako bega kwa bega...............:-

1. SONG MERRY CHRISTIMASS AND HAPPY NEW YEAR
ARTIST ndyamukama,kajubi,kita,azma,sir j,lady shani & g fulla

2. SONG: MY NAME IS HIPHOP
ARTIST: AZMA FEAT KITA


3.SONG: NASIGN UP
ARTIST: LADY SHANI FEAT AZMA

PRODUCED BY: KITA
STUDIO: RAMA RECORDS


COUNTRY:TANZANIA
EMAIL: azmamponda@gmail.com &umabe2010@yahoo.com
WEBSITE: http://umabeartscompany.blogspot.com


NB
we are NOTHING WITHOUT YOU, we cant do anything without u,am THE BEST
HIPHOP artist and KITA is the best PRODUCER
, WE NEED YOU"RE SUPPORT SO THAT WE CAN PROVE THIS.
if you need to support me and my bro kita do the following:
FORWARD THESE SONGS TO ALL UR FRIENDS,MAKE A PHONE CALL TO THE MEDIA AND
ASK 4 THIS SONGS TO HAVE AN AIR PRAY,GIVE UR FRIENDS OR UR RELATIVES
IN DIFFERENT MEDIA....
BY THE WAY THE VIDEOZ OF THESE SONGS WILL BE ON AIR SOON:


AZMA MPONDA
UMABE GENERAL MANAGER
+255712738888
MAY GOD BLESS U ALL!! PAMOJA SANA.


Monday, December 13, 2010

ENZI ZA UJANA WANGU, HAJAH JAH JAH JAH JAH..........!!!!!!!!!!!

Nimepitia moja ya kabrasha zangu na kukutana na hizi posters za Zantel.... Sijui unakumbuka hapa???????? Enzi hizo bado mdogo dogo hivi na still nina-Energy ya kudank, kudribo na vitu ka hizo na ZANTEL KEEP TALKING.......................................

Nakumbuka pale kati Mlimani City jua kali wajanja tukapiga mzigo (pesa nzuri eeeh) busy busy busy na Dough... Babuu wa Kitaa kama sterling hivi afu wengine wanakamilisha picha hapo kati.... ZANTEL hiyoooooooooooooooooooooooooooooooooo keep Talking Na MZUKA jamani!!!!!!!!!!!!!

Friday, December 10, 2010

TANZANIA VOTE FOR DIAMOND MTV MAMA AFRICA AWARDS.URBAN PULSE CREATIVE Inawaomba na kuwasihi watanzania wote pale walipo kuwa wazalendo na kumpigia kura Mtanzania mwenzetu, Ndugu Yetu, rafiki Yetu, Msanii wetu mpendwa Diamond ambaye amebahatika kuwa miongoni mwa wasanii wachache waliochaguliwa kuwania Tuzo za MTV MAMA AFRICA Awards Zitakazo fanyika Nigeria Jijini Lagos Jumamosi hii 11.12.10

Hivyo Basi watanzania na wadau wote wa muziki mnaombwa sana kupiga kura ili Kumwenzesha Diamond ashinde tuzo hii muhimu iweze kuja Tanzania ili kuiwezesha Nchi yetu kujulikana zaidi ulimwenguni na pia kuleta HESHIMA kubwa kwa kila MTANZANIA.

Namna ya kupiga Kura ni kama ifuatavyo:
1. Kwa njia ya simu unaweza kupiga kura yako kwa kuandika neno BNA DIAMOND kisha tuma text kwenda namba 6262, kwa walio nje yaTanzani tuma text 15726.

2. Kutumia Mtandao tembelea tovuti hii http://www.mtvbase.com/splash/mama/ bonyeza mtv mama halafu ingia ndani ya nominees tunaomba umpigie kura as the best New Act.

Tafadhari fanya sehemu yako pia mwambie na mwenzako.
Asanteni sana Mungu awabariki.

Diamond Platinumz
akishirikiana na
URBAN PULSE CREATIVE

Tuesday, December 7, 2010

HAPPY BIRTHDAY MY CAREER-MATE CASTO DICKSON (MWANANCHI WA KAWAIDA).

My wishes goes to my Bro from the hood Casto Dickson a.k.a Mwananchi wa kawaida . Huyu ni New blood kwenye Industry ya Utangazaji Tz.. akiwa pale Clouds Tv kama Dereva wa show ya 20 za Town kila j'mos saa 3 - 5 usiku.... Happy Birthday Bro.................

Monday, December 6, 2010

DAVIS NTARE KINARA WA TPF4...... (Kshs 5 MILLION)Baada ya kukaa mjengo kwa wiki 8 hatimaye Finali za Tusker Project Fame season 4 zimefanyika jana usiku, ni tukio la kihistoria linalowaleta wana Afrika Mashariki pamoja katika usiku wa Muziki....

Kutoka Ug Davis Hillary Ntare, ambaye ali-perform ngoma ya Michael Jackson '"Billie Jean" ndio alibuka kidedea kwa kuchaguliwa na wana East Africa kama winner of Tusker Project Fame 4,

Kwa kuwabwaga Amileena Mwenesi na Stephen Nyabwam (Steve) kutoka Kenya, na Peter J Msechu kutoka Bongo - Tanzania.
Kaondoka na mzigo wa maana kuupeleka kwa Waganda (Kshs 5 million cash prize), pia kapata one-year deal with South Africa's Gallo Records company, Premier Plus Medical cover from Resolution Health, one-year subscription to Adam Magazine, a laptop and a one year free internet connection from KDN na nyingine kibaoooooooooooooooooooooooooo..... Huku akifuatiwa na mwanetu kutoka kitaa cha kati Bongo - Tz P. Msechu.......


Bro ni wakati wako sasa, Prove for East African kuwa we ni mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii au mkareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama ulivyoacha mark pale kati ya stage kupitia TBC 1 LIVE......


Wednesday, December 1, 2010

HIVI NI KWELI GARDNER G HABASH KUITEMA CLOUDS FM?

Captainnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn.......... ndio jina nimelizoea kulisikia kwa sauti yenye tetemeko kali masikioni mwangu kama mdau mkubwa wa Jahazi ya Clouds Fm kuanzia saa 10 jioni hadi saa 1 usiku ..... Daaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhh kwangu ni kama Breaking Newz ambayo imenipatia shock nilipopitia kwa blog ya my dada Dina Marios.... Kuwa mtu mzima katangaza kuacha kazi ya Utangazaji Clouds Fm..

Kwa info Zaidi chungulia www.dinamarios.blogspot.com