Thursday, November 11, 2010

SHUKURANI ZA LADY JAY DEE KWA WADAU WOTE.


Nashukuru kwa support yenu ile Tunzo nilioomba ije kwangu imekuja kwa mikono mikunjufu

Mwaka mwingine tena 2010 PAM Award kwa Mwanamuziki Bora wa Kike toka Tanzania nimechaguliwa mimi JayDee.
Mungu anazidi kutuangazia nuru wote pamoja na fans mnaopenda muziki wangu, Tanzania na East Afrika kwa ujumla, Uganda asanteni kwa upendo na kuona kuwa nastahili.Natamani ningeweza kuhudhuria ila bahati mbaya sikuwepo kuipokea Tuzo yetu kama nilivyokabidhiwa mwaka 2008 ikiambatana na fedha taslimu .. i dolaaa.
Nawapendeni na kuwaheshimu kila ninapopata kitu kizuri kinachosababishwa na support yenu...Mungu Ibariki Tanzania

J
ide

No comments:

Post a Comment