Tuesday, November 9, 2010

SHOW LOVE NA EBONY FM FAMILY.


Ni moja ya poster ambalo kila Tamasha utakutana nalo likiwakilisha Burudani ni chakula chetu .

OB Van na humo ndani kuna kila swagger kutoka Ebony Fm. Popote tunaweza kwenda na tukapiga mzigo kama kawa ilimradi mafuta yawe ndani . Full kiyoyozi mwanzo mwisho...Arnie Gizzle himself ni kishow love na the best Mc of all time Aggy a.k.a Kiduchu au Miss Colours Baby kama Eddo anavyomuita, pande zile za Sokoine stadium Mbeya City siku moja kabla ya mtikisiko .Namuita Big wengi wanamfahamu kama Allen, One of the presenter Ebony Fm. I like the Boy coz is so cool n' real.
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaa haah!! Vinega wa Ebony Fm, Dj Muba, Eddo na Mwalubadu bangaladeshhhhh!! Eti wanapooza njaa kwa ndizi!!!!!!!!!!!!!!!


Show Love na Miss colours Baby a.k.a Aggy pembeni ni Bro from myhood Bonny-sly a.k.a Bonnie Zacharia Nyatogo na upande wa pili ni super Dj Muba.
Kama ningekuwa naniiiiiiiiiiiiiiii huyu jamaaaaaaaa ningemwambia hupo juuuuuuuuuu...... Haya go go go go Muba and Aggy.
Eddo na Aggy hiyo ni Chadema au? Samahani kampeni zimeisha ni muda wa kazi sasa!!!!!!!!!!! Au style yenu tu maanake siwawezi nyie watu na mbwembwe!!!!!!!!!!!
Mwalubadu Bangaladeshhhhhhhhhhhhhh na Aggy wakishow love pale kati.... ma - Mc wazuri wakikaa pamoja wana-cope ile mbaya. fanya kuwakuta kwenye show pamoja utakimbia.... I love them.
Bro Bonnie na sisy Aggy kwenye bonge moja la pozi bana.................................. Kama hii inanipelekea kumuita Aggy first lady wa Ebony Fm kwa mtazamo wa haraka haraka... Mbona kila pic yupo? au ni mpenzi mzuri wa kupiga pix na vitu ka hizo? Kiduchu nipigie simu then nipe jibu....

HAO NI BAADHI YA MEMBERS WACHACHE WA FAMILIA YANGU YA EBONY FM IRINGA/DSM.

No comments:

Post a Comment