Thursday, November 18, 2010

SASA KAZI IMEANZA!! HONGERA SANA MH. SUGU

Hapa ni Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu a.k.a Mr. II (Jimbo la Mbeya Mjini), akila kiapo Mjengoni. Kwa msisitizo kuonyesha kazi imeanza tayari. Nilifurahi sana pale Mh. Spika wa Bunge tukufu kumuita kwa kutumia a.k.a yake yaani SUGU!!!!!!!!!!!!!! Safi saaaaaaaana!!!!!!

No comments:

Post a Comment