Friday, November 26, 2010

SALAMA JABIR (SJ) LIKE MICHAEL JACKSON (MJ)?

Hii ni moja ya picha ya mwanadada na mtangazaji mwenye swagger hapa bongo Salama Jabir wa enzi zile Planet Bongo bado ni kipindi kupitia EATV...... Ni moja ya picha iliyonikumbusha kipindi kileee wanaharakati wa haki za Binadamu walipomzengua sana hayati MJ kipindi kamning'iniza mwanae kupitia dirisha la Ghorofa kwa wanahabari.... So kibongobongo wanasema hii ni moja ya mazoezi kwa mtoto na pia ni dawa ya degedege. Je wanaharakati wa Haki za Binadamu hapa Bongo watalielewa hili? Salama huyo mtoto ni wa nani?

No comments:

Post a Comment