Monday, November 29, 2010

MTOTO WA MAMA SAIDI "CHEGE" PANDE ZA NAIROBI

Katika pita pita zangu facebook nimekutana na status ya Chege Chigunda na nikaona haina mbaya kama nikishare nawe mdau wangu....."Nipo pande za nairobi na wanangu wagenge,tunapiga video mpya ngoma inaitwa Kila Moja ya Nonini ft Lady bee n Chege ni bonge moja la colabo"...
Sipati picha kama hii Video ikitoka itakuwaje baada ya hapo... kaka hongera kwa kupiga kazi za nje tunategemea mabadiliko kwa hilo.!!!

No comments:

Post a Comment