Thursday, November 18, 2010

BROTHER KARIBU TENA BONGOLAND.

Mtu mzima Mb Doggy baada ya trip ndefu na ya mafanikio pande za mbele sasa mwana karejea tena Home kwa shangwe nyingi....... Kwa taarifa za juu juu ni kwamba Doggy karudi na full Equipment za Audio Studio ambayo mpk sasa hajajua wapi pa kuitandaza ili wana waanze kuitumia. Hongera sana Bro..... Karibu Bongo na Joto letu hili.

No comments:

Post a Comment