Monday, November 22, 2010

ARNIE GIZZLE WAS TAGGED 3 PHOTOS OF MR. TANZANIA 2010.

MR. TANZANIA 2010 MARIO MPINGIRWA KATIKA POZI HUKU TAIWAN.....

Nimeipenda sana hii picha toka kwa Mr. Tanzania 2010 Mario Mpingirwa aliyoni-tag thru Facebook .... Baada ya kutuwakilisha Taiwan soon anarudi bongo bana. Tumekumiss Bro!!!!!!!!!!


Hapa kati na Wawakilishi wa nchi mbalimbali waki-show Love na Mr. Tanzania 2010 ALIYEWAKILISHA pale kati kwenye mashindano ya Manhunt International yaliyofanyika nchini Taiwan...................... Karibu Bongo tena Bro!!!No comments:

Post a Comment