Monday, November 29, 2010

MTOTO WA MAMA SAIDI "CHEGE" PANDE ZA NAIROBI

Katika pita pita zangu facebook nimekutana na status ya Chege Chigunda na nikaona haina mbaya kama nikishare nawe mdau wangu....."Nipo pande za nairobi na wanangu wagenge,tunapiga video mpya ngoma inaitwa Kila Moja ya Nonini ft Lady bee n Chege ni bonge moja la colabo"...
Sipati picha kama hii Video ikitoka itakuwaje baada ya hapo... kaka hongera kwa kupiga kazi za nje tunategemea mabadiliko kwa hilo.!!!

Friday, November 26, 2010

SALAMA JABIR (SJ) LIKE MICHAEL JACKSON (MJ)?

Hii ni moja ya picha ya mwanadada na mtangazaji mwenye swagger hapa bongo Salama Jabir wa enzi zile Planet Bongo bado ni kipindi kupitia EATV...... Ni moja ya picha iliyonikumbusha kipindi kileee wanaharakati wa haki za Binadamu walipomzengua sana hayati MJ kipindi kamning'iniza mwanae kupitia dirisha la Ghorofa kwa wanahabari.... So kibongobongo wanasema hii ni moja ya mazoezi kwa mtoto na pia ni dawa ya degedege. Je wanaharakati wa Haki za Binadamu hapa Bongo watalielewa hili? Salama huyo mtoto ni wa nani?

HAPPY BIRTHDAY MY BROTHERS ADILI MKWELA (Chapakazi) & DENNIS ISIKE (Ttv)

"Thanks everyone for the great birthday wishes. I love you all to Death..Flood My wall its all lovely. Love u All" ...... msg frm Adili Himself.
Wish u all the best in ur life.........

Monday, November 22, 2010

ARNIE GIZZLE WAS TAGGED 3 PHOTOS OF MR. TANZANIA 2010.

MR. TANZANIA 2010 MARIO MPINGIRWA KATIKA POZI HUKU TAIWAN.....

Nimeipenda sana hii picha toka kwa Mr. Tanzania 2010 Mario Mpingirwa aliyoni-tag thru Facebook .... Baada ya kutuwakilisha Taiwan soon anarudi bongo bana. Tumekumiss Bro!!!!!!!!!!


Hapa kati na Wawakilishi wa nchi mbalimbali waki-show Love na Mr. Tanzania 2010 ALIYEWAKILISHA pale kati kwenye mashindano ya Manhunt International yaliyofanyika nchini Taiwan...................... Karibu Bongo tena Bro!!!HAPPY BIRTHDAY MY BRO MWAIPAYA & SISY GRACE.

"YEEEEES INDEED, MY NEW DAY HAS COME,THANX GOD FOR HIS ABUNDANT BLESSINGS HE ALWAYS POUR ON ME,THANX DEAR MAMA AND DAD FOR SUPPORTING ME UP TO THIS STAGE OF LIFE,I ADORE U,THANX MY FAMILY,FRIENDS,KEEN AND KEETH FOR ACCEPTING ME AND SUPPORT ME IN PRAYZ,GOD BLESS U AND I LUV U ALL13" ...................... Hii ni status ya Bro pale kati facebook..!! Happy B'Day once again Bro!!!!!!!!!!!!!!


"Take your records take your freedom,
take your memories i dont need them,
take your space and all your reasons,
but you will think of me "-....... Facebook status yake pia.

.......................................... Hope unamfahamu mwanadada Matata wa sauti na Gitaa ,Hit Maker wa Free Soul GRACE MATATA ....Happy B'Day too Dada!!!!!!!!!!!!

Saturday, November 20, 2010

UNAKUMBUKA ENZI HIZI??????????????????

UNAKUMBUKA KIPINDI HICHO TUNATUMIA VHS NA SIO DVD................??????DAAAAAH TUMETOKA MBALI BANA!!!!!!!? EMBUU NIAMBIE KUPITIA arniegizzle@yahoo.com hii inakukumbusha wapi? then tutatupia hapa kati......... Otherwise nice wkend & No. yako ninayo ntakupigia!!!!!!!!

HAPPY BIRTHDAY KIDBWOY & GET WELL SOON.

Bro anafikisha kadhaa na zaidi leo katoa suprise yake thru Facebook status........ "NAJUA ITAKUWA SUPRISE KWENU KUIONA STATUS HII COZ SIJAINGIA FB MDA MREFU KIDOGO COZ OF WAT HAPPENED TO ME. SIJAPONA VIZURI BADO THATS WHY SITUMII HATA COMPUTER KWA KIPINDI HIKI SABABU INANIUMIZA MACHO NA KICHWA KINAANZA KUUMA COZ HATA DR HAJANIRUHUSU KUFANYA KAZI YOYOTE MAANA SIJAPONA VIZURI"  .............Pole sana Bro na Mungu yupo pamoja nawe, sisi pia tunakuombea sana. ZAIDI HAPPY B'DAY!!

Thursday, November 18, 2010

SASA KAZI IMEANZA!! HONGERA SANA MH. SUGU

Hapa ni Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu a.k.a Mr. II (Jimbo la Mbeya Mjini), akila kiapo Mjengoni. Kwa msisitizo kuonyesha kazi imeanza tayari. Nilifurahi sana pale Mh. Spika wa Bunge tukufu kumuita kwa kutumia a.k.a yake yaani SUGU!!!!!!!!!!!!!! Safi saaaaaaaana!!!!!!

BROTHER KARIBU TENA BONGOLAND.

Mtu mzima Mb Doggy baada ya trip ndefu na ya mafanikio pande za mbele sasa mwana karejea tena Home kwa shangwe nyingi....... Kwa taarifa za juu juu ni kwamba Doggy karudi na full Equipment za Audio Studio ambayo mpk sasa hajajua wapi pa kuitandaza ili wana waanze kuitumia. Hongera sana Bro..... Karibu Bongo na Joto letu hili.

Monday, November 15, 2010

WANANCHI KAZI MLIYONITUMA NIMEIMALIZA.

Hapa tumechoka mbaya baada ya kupiga mzigo non-stop kuanzia saa 4 asbh mpk saa 8 usiku............. Me n' Macdonald wa Ebony Fm.
Unajua namanisha nini hapa???????????????? Weasal na Radio live on stage la Mtikisiko Iringa na Bata Mrefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu................

Leo narudi Dar baada ya kumaliza kuwalisha watu wa Nyanda za juu kusini Bata Mrefuuuuuuuu takribani wiki 2 mfululizo....... Watu wangu wa Dar najua mmenimiss??????? Am Back Jamaniiiiiiiii..... Niombeeni nifike salama . C u There!!!!!!!!!!


Friday, November 12, 2010

HII NI COVER TUUUUUUUU........

Mara ya mwisho nilipiga nae show pale kati kwenye TP na kuwambia mashabiki wake anakuja kitofauti sana...... Yaani Young Rapper of all time Young DEE!!!!!!!!!!!!!!! Huu ndio muonekano wa Cover ya Albamu yake ya kwanza yenye ngoma 10 humo ndani..... hajaaaaaaaaaaah si ya kukosa hii....!!!!!!!!!!!

Thursday, November 11, 2010

SHUKURANI ZA LADY JAY DEE KWA WADAU WOTE.


Nashukuru kwa support yenu ile Tunzo nilioomba ije kwangu imekuja kwa mikono mikunjufu

Mwaka mwingine tena 2010 PAM Award kwa Mwanamuziki Bora wa Kike toka Tanzania nimechaguliwa mimi JayDee.
Mungu anazidi kutuangazia nuru wote pamoja na fans mnaopenda muziki wangu, Tanzania na East Afrika kwa ujumla, Uganda asanteni kwa upendo na kuona kuwa nastahili.Natamani ningeweza kuhudhuria ila bahati mbaya sikuwepo kuipokea Tuzo yetu kama nilivyokabidhiwa mwaka 2008 ikiambatana na fedha taslimu .. i dolaaa.
Nawapendeni na kuwaheshimu kila ninapopata kitu kizuri kinachosababishwa na support yenu...Mungu Ibariki Tanzania

J
ide

Wednesday, November 10, 2010

ETI KWELI DIAMOND KAWA MUHUDUMU WA HOTELI MBELE????

Point ya msingi mzee wa Mbagala akiwa jikoni akifanya mambo kama alivyokutwa na Camera......
Hapa kama Bro wa nenda kamwambia anfanya kwenda kuwa-serve wateja pale kati baada ya kitu cha Ugali wa Mbagala kuwa sawa........ kweli?????????????


Baada ya wateja kupiga Menu yao safffffffffffffiiiiiiiiiiiiiii Diamond kama katupia kati jikoni kuosha vyombo kama ilivyo kawaida............................ Leo Usharobaro umetupwa kuleeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
SO ILI KUPROVE UKWELI HUO TEMBELEA www.ladyjaydee.blogspot.com

MANHUNT ITERNATIONAL 2010. MARIO FOR TANZANIA.Hi my name is Mohammed Mpingirwa (Mario) and I am an aspiring model. I have a very great experience and I have did numerous amounts of shoots with photographers whom of which complimented me both on my character and my talent when it comes to being in front of a camera. As a model, my goal is to eventually come up with something great that no one has ever thought of doing and set a new trend for my generation of people. I am devoted to modeling and since I put so much time into it I think I should be remembered as a person who was great at it.
I am not a limited person so contact me for any job where a model is needed. My email addresses are mmpingirwa@yahoo.com. I will respond promptly
. If you have any further questions please feel free to write anytime. Thanx for reading my profile. I hope that I caught you interest. Have a blessed day.

--------------------------------------------------------------------------------
Hayo ni machache kuhusu Mr. Tanzania 2010 ambaye yupo tayari kwa fainali kule Taiwan. ALL THE BEST BROTHER!!!!

NURU THE LIGHT NDANI YA SPORAH SHOW.

The lady gotta swagger that's y nampenda sana, ni mdada kutoka hapa hapa Tanzania NURU THE LIGHT hit maker wa Msela hope unakumbuka hilo light!!!!!!!!!!! Hapa akishow love na Sporah pamoja na his Bro After the show.
At the Sporah Show in the Making, akiwa makini sana mbele ya Camera, hii inanikumbusha nikiwa mbele ya Camera Wakati wa Tupo Pamoja Show!

Nimeipenda sana style ya nywele zake, African ile mbaya na so simple. I Love that dada Nuru.


Tuesday, November 9, 2010

SHOW LOVE NA EBONY FM FAMILY.


Ni moja ya poster ambalo kila Tamasha utakutana nalo likiwakilisha Burudani ni chakula chetu .

OB Van na humo ndani kuna kila swagger kutoka Ebony Fm. Popote tunaweza kwenda na tukapiga mzigo kama kawa ilimradi mafuta yawe ndani . Full kiyoyozi mwanzo mwisho...Arnie Gizzle himself ni kishow love na the best Mc of all time Aggy a.k.a Kiduchu au Miss Colours Baby kama Eddo anavyomuita, pande zile za Sokoine stadium Mbeya City siku moja kabla ya mtikisiko .Namuita Big wengi wanamfahamu kama Allen, One of the presenter Ebony Fm. I like the Boy coz is so cool n' real.
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaa haah!! Vinega wa Ebony Fm, Dj Muba, Eddo na Mwalubadu bangaladeshhhhh!! Eti wanapooza njaa kwa ndizi!!!!!!!!!!!!!!!


Show Love na Miss colours Baby a.k.a Aggy pembeni ni Bro from myhood Bonny-sly a.k.a Bonnie Zacharia Nyatogo na upande wa pili ni super Dj Muba.
Kama ningekuwa naniiiiiiiiiiiiiiii huyu jamaaaaaaaa ningemwambia hupo juuuuuuuuuu...... Haya go go go go Muba and Aggy.
Eddo na Aggy hiyo ni Chadema au? Samahani kampeni zimeisha ni muda wa kazi sasa!!!!!!!!!!! Au style yenu tu maanake siwawezi nyie watu na mbwembwe!!!!!!!!!!!
Mwalubadu Bangaladeshhhhhhhhhhhhhh na Aggy wakishow love pale kati.... ma - Mc wazuri wakikaa pamoja wana-cope ile mbaya. fanya kuwakuta kwenye show pamoja utakimbia.... I love them.
Bro Bonnie na sisy Aggy kwenye bonge moja la pozi bana.................................. Kama hii inanipelekea kumuita Aggy first lady wa Ebony Fm kwa mtazamo wa haraka haraka... Mbona kila pic yupo? au ni mpenzi mzuri wa kupiga pix na vitu ka hizo? Kiduchu nipigie simu then nipe jibu....

HAO NI BAADHI YA MEMBERS WACHACHE WA FAMILIA YANGU YA EBONY FM IRINGA/DSM.

Monday, November 8, 2010

MTIKISIKO 2010 ULIVYOTIKISA JIJI LA MBEYA.


Hapa ni uwanja wa sokoine pale kati Mbeya city a.k.a The Green City ikiwa ni maandalizi ya mwisho ya Stage ya Ebony Fm the # 1 Radio in Southern Highland . Bonge moja la tamasha kwa Udhamini mkubwa wa kampuni ya simu za mkononi Vodacom na kampuni ya bia TBL kupitia Brand ya Kilimanjaro premium Lager.

Daah wana Mbeya City walijitokeza kwa wingi sana kumla Bata mrefuuuuuuuuuu pande hizo kama wanavyoonekana hapo kati.
Kati ni wana Twanga pepeta kisima cha Burudani wakisugua kisigino kwa wana Mbeya waliojitokeza kwa wingi kumla Bata Mrefuuuu........... daaaaaah palikuwa hapatoshi bana. Never happen in the History of Mbeya!!!!!!!!!!!!!

Anaitwa Dj Muba all the way from Iringa Town (Ebony Fm) to Mbeya City kwa ajili ya kitu kimoja tuuuu.... kusugua lp ili kufanikisha na kuhakikisha Bata wa Mtikisiko 2010 anakuwa Mrefuu na analiwa Vizuri saaana bana na people wa Mbeya.


Kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT) Hapo kati Linnah akiwa anamwimbia Dude wa Mbeya kuwa akimwona amponde mawe ...ullishaisoma eeeeeeeeeeeeeeh!!Palikuwa hapatoshi kipindi stage ilipovamiwa na mtu mzima wa hii ni Tanzania , Namzungumzia Roma ambaye alionekana kuwapagawisha watu wa mbeya ile mbaya.... walipata wazimu wa muda mpk basi hasa pale alipoimba ngoma yake ya Tanzania.
Hawa jamaa walitisha mbaya sana kwani waliingia na support ya kutaja sana jina la Sugu Mp mteuliwa wa Mbeya na kufanya Uwanja mzima kupiga kelele mbayaaa... Nawazungumzia TMK wanaume Halisi wakiongozwa na Sir Nature.
Hapa kati ni mtu mzima Sir Nature akishow love stajini kwa wana wa Mbeya waliofika kula Bata mrefuu pale kati uwanja wa Sokoine..... Jamaa walipiga kelele mwanzo mwisho mpk jamaa anashuka stejini walikuwa wanataka aendelee kuwapa bata .
Baadae wakapanda Chegge na Mh. Temba wakiweka mkono mmoja juu na wana Mbeya wakaweka mkono juu huku wakila bata mrefuu, Wasanii kibao walikuwepo pande hizo kukamilisha Tamasha la Mtikisiko 2010 pande za Mbeya City, Ambao ni BARNABA, IZZO B, LINEX, MIKE TEE N.K huku wakisindikizwa na wasanii wa Mbeya......................................

Sasa bata Mrefuu anahamia Iringa Jumamosi hii trh 13/11/2010 pale uwanja wa Samora huku wakiwepo weasal n' Radio frm Uganda,. Ebony Fm FEEL THE DIFFERENCE !!!!!!!!!!!!!!!!!