Monday, October 18, 2010

UTI VICTORIOUS BBA ALL STARS............

After battling kwa muda wa siku 91 ndani ya Mjengo wa BBA All Stars, Nigerian Boy, Uti Nwachukwu kawa Big Brother Africa's newest MILLIONARE!

Baada ya competition kali sana kutoka Zimbabwe kwa brotherman Munya Chidzonga, Uti alitangazwa the winner of a cool USD 200 000. Ni kitu ambacho watu wengi hawakutegea sana kwa Uti kulamba mzigo. Matumani ya wengi yalikuwa kwa Munya. Mzigo umerudi Nigeria kwa mara ya pili mfululizo baada ya Kelvin kuubeba mwaka jana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment