Friday, October 22, 2010

NAMZIMIA SANA HUYU DADA.......!! SHE IS REAL.

Ni moja kati ya watangazaji wa kike hapa Tz wanaonivutia sana tho si mpenzi wa design ya vipindi ka chake but kupitia Leo Tena ya Clouds fm Dina Marios ananifanya kusikiliza show pale napokuwa na time...... Najua unataka kujua kwanini NAMZIMIA SANA HUYU MDADA.............................

"Hii nguo niliivaa jana ofisini ni gauni na kikoti cha juu sio suti kusema nimenunua pamoja nimenunua kila kimoja kivyake.Gauni Tsh 7000 na kikoti Tsh 5000 jumla yake Tsh 12,000.Haya ni mapenzi yangu binafsi katika kufanya maisha yawe rahisi nimekupa tip hii kama utapenda.Haimaanishi sinunui nguo dukani ila mtumba siku hizi naupa nafasi ya juu zaidi.Dukani naenda zaidi kununua nguo za outing."
HII NI MOJA YA MANENO NILIYONUKUU KUPITIA BLOG YAKE.. zaidi fanya kuchungulia hapo kati www.dinamarios.blogspot.com

No comments:

Post a Comment