Tuesday, October 19, 2010

MB DOGGY NA PRINCE ADIO KUFANYA MAMBO KTK SWAHILI NITE 2 PALE KATI UJERUMANI.

Hii ni moja ya poster inayotambulisha pale kati nini kita-happen, kijana toka Home Mb Doggy na kijana kutoka Mombasa kenya Prince Adio watakavyo wakilisha katika Swahili Nite 2 pale kati 30 Oct 2010.
Hapa ni mzee wa sagaplasha Mb Doggy akiwa kwenye moja ya mitaa ya Ujerumani huku ametupia sumu kali mwilini, Ulaya ulaya tuuuuu!!!! UNABISHAAAAA???????
Hapa ni kijana toka pande za Mombasa Kenya anayekwenda kwa jina la Prince Adio ambaye atawakilisha kwenye 1 stage na mtu mzima Mb Doggy pale kati tarehe 30 Oct hii (siku moja kabla ya uchaguzi upande wetu wa Tz). So kama mtu mzima Doggy hatakosa haki yake ya msingi kumchagua kiongozi Bora. Nway tuliobaki tutawakilisha.!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment