Thursday, October 14, 2010

LINEX SUNDAY NA DLC PALE KATI ON TUPO PAMOJA THIS WEEK.

Ni moja kati ya vitu vinavyonifanya kujisikia Happy sana kama kukaa mbele ya Camera na Ku-Host moja ya show ninayo-produce..... So kama this friday ndani ya TP tunaanza na mtu mzima toka kitaa fulani hapa Bongo-Dsm!!!................
Kitaani anasemekana kama ana swagger zinazofanana na mtu mzima toka Burundi hapa namzungumzia Kidumu lakini kama wewe unaujua muziki hata kidogo huwezi mfananisha na huyu jamaaaaaa......... Mama Halima ndio blaze inyo-make Headline pande zote za Nchi na beyond mipaka yake..... Naongea hivi kama jamaa ameshandondosha Albamu mtaani ambayo ina zaidi ya Hits 13 non-stop with collaboration na wasanii kibao toka Town.....!!!!!! 

Hayaaa namzungumzia LINEX kwa sasa anafamika kama Linex Sunday , jina ambalo bado jipya kwa ma-fans kutokana na kumpoteza Bro wake aliyekuwa anampatia support sana kwenye game aliyekuwa anaitwa SUNDAY, So kafanya hivyo kama kumuenzi his brada (R.I.P)... Mengi zaidi kumhusu fanya kuchungulia show friday hii saa 3 usiku pale kati Ttv!!!! 
..............Then safari ikaendelea mpk pale Ubungo mkoa nikakutana na wana wanaokwenda kwa jina la DAGO LIFE CREW (DLC)... kama miaka 8 kwenye game kiubishi wanasababisha... safi sana!!!!!!!!!!!! Jamaa wakali na wana-hustle na magumashi ya town mpk wanaingia studio kuanzia Audio mpk Video ............. 
Kasu na Imma Gee ndio wanahusika sana humu ndani...... mpk inasimama DLC. Hapo kama Kasu alikuwa anaelezea maana ya neno Dago... ni bonge moja ya Code daaaaah usikose show !!!!!!!!!!!!!
Kama jamaa wa DLC na washikaji wao wakichana ma-freestyle na pia wakishow love ndani ya TP................ Point ya msingi hapa ni kama jamaa waliniambia baadhi ya Media zinakuwa hazitoi support kwa ma-underground kitu ambacho kinawaumiza wasanii wachanga kutochomoka....!!!!!!!
Mng'ao wa kutosha nishatupia kutoka FELIX SINZA CLASSIC WEAR pale kati sinza Kijiweni ... So fanya kufika pale kati kwa Cotton zote kali na za kijanja!!!!! Me nipo poa sana zaidi nikutakie utazamaji mwema wa show ya TP this Friday saa 3 usiku pale Tumaini Tv Pekee!!!! Thnx kwa Sam The Gen, Anna Mairi, na Big Tommy kwa kusababisha show kusimama!!!!!!!

No comments:

Post a Comment