Friday, October 29, 2010

ALI KIBA MAKE IT HAPPEN BRO....!!

Kama wewe ni Mtanzania mpenda maendeleo hasa ya muziki wetu huna budi kumpongeza Ali Kiba kwa hatua aliyofikia na mafanikio yake kwa kuwa mmoja kati ya wasanii 8 toka Afrika walio-sign mkataba mnono sana. Hapo kati ni 2face, Kiba mwenyewe na JK wakiwa moja ya mitaa ya Chicago U.S.A
Hapa ni ma-star wanaounda kundi la ONE8 wakiwa Studio waki-record ngoma yao pande za Chicago........ ONE8 ni kundi linalojumlisha ma-star 8 across Africa akiwemo Ali Kiba kutoka hapa kwetu Tanzania, Navio- Uganda, Aman - Kenya, 2face - Nigeria na wengine..................... Me nakutakia mafanikio mema ndugu. Tuwakilishe Watanzania na Muziki wetu!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment