Friday, October 29, 2010

THE # 1 RADIO IN SOUTHERN HIGHLAND PRESENT 2 U MUSIC FESTIVAL FOR ALL TIME......

MTIKISIKO 2010, Bata Mrefuuuuuuuuuuuuuu...........!!! Pale kati kupitia 87.8 Mhz Iringa na 94.7 Mhz Mbeya, Ebony Fm inakuletea Bonge moja la Tamasha never before!!!!!!!!!!! Once per Year hakuna Utata wala mbalatata kwa kula Bata! , na this year ni mwendo wa Bata Mrefuuuuuuuuuu yaani ni mlolongo wa gud times from Iringa to Mbeya na Mbeya to Iringa!!!!! Huuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!
Hawa jamaa (Weasel n' Radio) ni moja ya wasanii kati ya wengi watakaodondoka pande hizo kutoa Burudani n' Much More, Soon nitawadondoshea list ya wasanii watakao kuwepo kwenye Mtikisiko 2010 na zaidi nitawachakachulia ni nini na lini kita-happen pande hizo??? Stay tuned.................

Hajah ajah jah jah jah jah jah!!!!!!!!!!!!! hii ni pix niliyotoa maktaba kati ya nyingi za Mtikisiko miaka iliyopita,,,,, On stage ni one of the popular Presenter Eddo Bashir akionyesha mbwembwe zake na Baby Madaha, kuwa kama hasingekuwa mtangazaji basi angefaa kuwa Dancer................. Eddo kama nimekosea nipandie Hewani tuoneeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
HII SI YA KUKOSA NI BATA MREFUUUUUUUUUUUUUUUUUUU...............................

ALI KIBA MAKE IT HAPPEN BRO....!!

Kama wewe ni Mtanzania mpenda maendeleo hasa ya muziki wetu huna budi kumpongeza Ali Kiba kwa hatua aliyofikia na mafanikio yake kwa kuwa mmoja kati ya wasanii 8 toka Afrika walio-sign mkataba mnono sana. Hapo kati ni 2face, Kiba mwenyewe na JK wakiwa moja ya mitaa ya Chicago U.S.A
Hapa ni ma-star wanaounda kundi la ONE8 wakiwa Studio waki-record ngoma yao pande za Chicago........ ONE8 ni kundi linalojumlisha ma-star 8 across Africa akiwemo Ali Kiba kutoka hapa kwetu Tanzania, Navio- Uganda, Aman - Kenya, 2face - Nigeria na wengine..................... Me nakutakia mafanikio mema ndugu. Tuwakilishe Watanzania na Muziki wetu!!!!!!!!!!!!!!

Wednesday, October 27, 2010

HAPPY BIRTHDAY LOVELY JODETTE DOMINIC.


Ni moja ya mapresenter wa Tumaini media na leo kama unasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwako basi upo na mwanadada huyu..................... Wish u all the Best in ur life dada!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Friday, October 22, 2010

NAMZIMIA SANA HUYU DADA.......!! SHE IS REAL.

Ni moja kati ya watangazaji wa kike hapa Tz wanaonivutia sana tho si mpenzi wa design ya vipindi ka chake but kupitia Leo Tena ya Clouds fm Dina Marios ananifanya kusikiliza show pale napokuwa na time...... Najua unataka kujua kwanini NAMZIMIA SANA HUYU MDADA.............................

"Hii nguo niliivaa jana ofisini ni gauni na kikoti cha juu sio suti kusema nimenunua pamoja nimenunua kila kimoja kivyake.Gauni Tsh 7000 na kikoti Tsh 5000 jumla yake Tsh 12,000.Haya ni mapenzi yangu binafsi katika kufanya maisha yawe rahisi nimekupa tip hii kama utapenda.Haimaanishi sinunui nguo dukani ila mtumba siku hizi naupa nafasi ya juu zaidi.Dukani naenda zaidi kununua nguo za outing."
HII NI MOJA YA MANENO NILIYONUKUU KUPITIA BLOG YAKE.. zaidi fanya kuchungulia hapo kati www.dinamarios.blogspot.com

HAPPY BIRTHDAY MY BROTHER KAITABA BWAHAMA........!

Kaka nakutakia maisha marefu na mafanikio mema. Ni Mr. Kaitaba but me namjua kama Edwin tulikuwa tunapiga mzigo wote pale Ttv na kwa sasa yupo pale TBC1...... LONGER LIVE MZEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!

Tuesday, October 19, 2010

MB DOGGY NA PRINCE ADIO KUFANYA MAMBO KTK SWAHILI NITE 2 PALE KATI UJERUMANI.

Hii ni moja ya poster inayotambulisha pale kati nini kita-happen, kijana toka Home Mb Doggy na kijana kutoka Mombasa kenya Prince Adio watakavyo wakilisha katika Swahili Nite 2 pale kati 30 Oct 2010.
Hapa ni mzee wa sagaplasha Mb Doggy akiwa kwenye moja ya mitaa ya Ujerumani huku ametupia sumu kali mwilini, Ulaya ulaya tuuuuu!!!! UNABISHAAAAA???????
Hapa ni kijana toka pande za Mombasa Kenya anayekwenda kwa jina la Prince Adio ambaye atawakilisha kwenye 1 stage na mtu mzima Mb Doggy pale kati tarehe 30 Oct hii (siku moja kabla ya uchaguzi upande wetu wa Tz). So kama mtu mzima Doggy hatakosa haki yake ya msingi kumchagua kiongozi Bora. Nway tuliobaki tutawakilisha.!!!!!!!!

KWA WAPIGA PICHA WOTE BONGO!!!!!!! HII INAKUFAA


Greetings to you,

If you wish to participate please reply and I will email you the application form.

Also please forward to all the photographers you know.

Best Regards,

Shama Jaffer
Coordinator.
--
Malkiory William Matiya,
B.Ed.(Hons) (UDSM) & M.Sc, P/Health (UTA, Finland)
Mobile: +358404623776
Emails: malkiory@gmail.com or malkiory.matiya@ymail.com

Monday, October 18, 2010

UTI VICTORIOUS BBA ALL STARS............

After battling kwa muda wa siku 91 ndani ya Mjengo wa BBA All Stars, Nigerian Boy, Uti Nwachukwu kawa Big Brother Africa's newest MILLIONARE!

Baada ya competition kali sana kutoka Zimbabwe kwa brotherman Munya Chidzonga, Uti alitangazwa the winner of a cool USD 200 000. Ni kitu ambacho watu wengi hawakutegea sana kwa Uti kulamba mzigo. Matumani ya wengi yalikuwa kwa Munya. Mzigo umerudi Nigeria kwa mara ya pili mfululizo baada ya Kelvin kuubeba mwaka jana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Thursday, October 14, 2010

LINEX SUNDAY NA DLC PALE KATI ON TUPO PAMOJA THIS WEEK.

Ni moja kati ya vitu vinavyonifanya kujisikia Happy sana kama kukaa mbele ya Camera na Ku-Host moja ya show ninayo-produce..... So kama this friday ndani ya TP tunaanza na mtu mzima toka kitaa fulani hapa Bongo-Dsm!!!................
Kitaani anasemekana kama ana swagger zinazofanana na mtu mzima toka Burundi hapa namzungumzia Kidumu lakini kama wewe unaujua muziki hata kidogo huwezi mfananisha na huyu jamaaaaaa......... Mama Halima ndio blaze inyo-make Headline pande zote za Nchi na beyond mipaka yake..... Naongea hivi kama jamaa ameshandondosha Albamu mtaani ambayo ina zaidi ya Hits 13 non-stop with collaboration na wasanii kibao toka Town.....!!!!!! 

Hayaaa namzungumzia LINEX kwa sasa anafamika kama Linex Sunday , jina ambalo bado jipya kwa ma-fans kutokana na kumpoteza Bro wake aliyekuwa anampatia support sana kwenye game aliyekuwa anaitwa SUNDAY, So kafanya hivyo kama kumuenzi his brada (R.I.P)... Mengi zaidi kumhusu fanya kuchungulia show friday hii saa 3 usiku pale kati Ttv!!!! 
..............Then safari ikaendelea mpk pale Ubungo mkoa nikakutana na wana wanaokwenda kwa jina la DAGO LIFE CREW (DLC)... kama miaka 8 kwenye game kiubishi wanasababisha... safi sana!!!!!!!!!!!! Jamaa wakali na wana-hustle na magumashi ya town mpk wanaingia studio kuanzia Audio mpk Video ............. 
Kasu na Imma Gee ndio wanahusika sana humu ndani...... mpk inasimama DLC. Hapo kama Kasu alikuwa anaelezea maana ya neno Dago... ni bonge moja ya Code daaaaah usikose show !!!!!!!!!!!!!
Kama jamaa wa DLC na washikaji wao wakichana ma-freestyle na pia wakishow love ndani ya TP................ Point ya msingi hapa ni kama jamaa waliniambia baadhi ya Media zinakuwa hazitoi support kwa ma-underground kitu ambacho kinawaumiza wasanii wachanga kutochomoka....!!!!!!!
Mng'ao wa kutosha nishatupia kutoka FELIX SINZA CLASSIC WEAR pale kati sinza Kijiweni ... So fanya kufika pale kati kwa Cotton zote kali na za kijanja!!!!! Me nipo poa sana zaidi nikutakie utazamaji mwema wa show ya TP this Friday saa 3 usiku pale Tumaini Tv Pekee!!!! Thnx kwa Sam The Gen, Anna Mairi, na Big Tommy kwa kusababisha show kusimama!!!!!!!

Wednesday, October 13, 2010

MB DOGGY LEO AKWEA PIPA KWENDA UJERUMANI.

Kwa taarifa za faster kutoka kwa MB Doggy leo kakwea Pipa kwenda kwenye bata mrefu sana pande za Ujerumani ambapo atapiga bonge moja la show kwa muda kama wa wiki tatu hivi. So mafans wa Doggy pande hizo kaeni mkao wa kula bata mrefuuu sana na Doggy..