Monday, August 23, 2010

TANZANIA TUSIMAME KWA PAMOJA KU-SUPPORT MISS UNIVERSE 2010.

Hapa ni warembo wote wanaoshiriki taji la Miss Universe 2o1o , wakiwa wamepozi kwapamoja mbele ya Mandalay Bay Hotel ambapo watafanyia mashindano hayo...
Hellen Dausen ni mtanzania anayewakilisha Tanzania 2010 kwenye mashindano ya Miss Universe 2010 ktk 59th Annual Miss Universe competition.. Yatakayofanyika leo usiku from the Mandalay Bay Resort and Casino, in Las Vegas, Nevada.

Jamani hii ni kwa ajili yetu sote watanzania kutoa support hasa kumwombea mrembo wetu huyu kurudi home na Ushindi... God bless Hellen, God bless Tanzania.

No comments:

Post a Comment