Friday, August 27, 2010

MARIO MPINGIRWA KUWAKILISHA TANZANIA KWENYE MR. MANHUNT INTERNATIONAL 2010.

One of Tanzanian Top Male model, Mario Mpingirwa kuiwakilisha Tz kwenye mashindano ya kumsaka Mr. Manhunt International 2010 yatakayofanyika nchini Taiwan later in October. 

Managing Director wa Compass Communications, Maria Sarungi Tsehai amesema, Mario (23 yrs ) ambaye amekuwa akishiriki katika local Fashion Industry zaidi ya 4yrs hapa Bongo ndio Mtanzania wa kwanza kubahatika kupata nafasi kushiriki kwenye mashindano haya maarufu Duniani.  Huku akiwa amefanya kazi na ma-Designer maarufu na wenye vipaji kutoka hapa Bongo kama Ailinda Sawe, Fatma Amour na Ally Rehmtullah. Recently Mario has worked with David Tlale wa South Africa.
Ameongeza kuwa Mario ana safari ndefu mbele yake huku akienda ku-face tough competition, with more than 80 countries and territories competing for this pageant, she believes anayo-enough experience to make us proud.!!!!!
Zaidi ya U-model, Mario is more talented kwani pia ni Tv Presenter ambaye ali-host mashindano ya Miss Universe 2010, huku pia ni bonge la Actor akiwa ameigiza kwenye movies tofauti tofauti kama "MY LOVE" na "SWEET REVENGE".

Tanzania kwa pamoja tujitokeza kum-support our belove n' fellow Tanzanian anapokwenda kuwakilisha Tz kwenye mashindano haya!! kila la kheri my Brada..
           
  GOD BLESS MARIO, GOD BLESS TANZANIA!!!!!

No comments:

Post a Comment