Tuesday, August 31, 2010

LEO NI LEO.... AUG 31 DJ Feeeeh!!!! HAPPY B.DAY.

Leo ni siku tunaungana kwa pamoja kusherekea siku ya kuzaliwa kwa Mwanahabari mwenzetu Dj Fety kutoka pale mjengoni clouds Fm...... Fanya kutega sikio kila j'mosi kwenye Bongo fleva kuanzia 6 kamili mpk 9 mchana 4 mo skillz kutoka kwa Feeeeh eh!!!!! Happy B. Day.................
"....fatma hassan alizaliwa agosti 31....kwa kuwa alikuwa anapenda sana kula chapati wazazi wake na watu wa karibu walitabiri atakuja kuwa nonge la dj........lakini baada ya kuonja na kuramba ramba ice cream za azam.....wengi wakasema atafaaa sana kuwa mtangazaji....HUYU HAPA....FATMA HASSAN......DJ FETTY......EH EH...........QWEFE-EH..........happy born day!!!!..." (Hii ni post ya Ruben Ndege ..Ncha kali.. aliopost kwa wall yake facebook)

No comments:

Post a Comment