Wednesday, August 18, 2010

Jay-Z Ndio Tops wa Hip-Hop's Cash Kings 2010

Jay-Z kwa sasa anaitaji kubadilisha wimbo wake wa 99 Problems, coz it REALLY doesn’t seem like matatizo yapo kwake...........

Ndani ya miezi 12 iliyopita Brada Jigga kaingiza kiasi cha USA $ 63 million ... Jay-Z kapiga shavu baya na kupata Title ya #1 Hip-Hop Cash. Mkwanja huo kaupata kupitia source zake mbalimbali ikiwemo mauzo ya Albamu, Tour alizopiga sehemu mbalimbali duniani, Nightclub yake ya 40/40, na share kwenye timu ya mpira wa kikapu ya New Jersey Nets.

P. Diddy ni #2 kwa $30 million ikiwa ni mara 2 ya utajiri wa Jigga... Following behind Diddy ni kaka frm Afrika #3 Akon kwa $21 million, #4 Lil Wayne kwa $20 million,#5 Ludacris kwa $16 million, #6 Kanye West kwa $12 million, na Brada 50 Cent this time katupwa kuleee mpk #7 kwa $8 million na hii ni kutokana na kuweka kando muziki huku akibase sana kwenye filamu Industry.

JAMANIIIIIIIIiiiiiiiiiiiii Huyu hayupo kwenye Record ya male Hip-Hop artist, Namzungumzia Jay-Z’s wife Beyonce ambaye kawahacha vidume wote midomo wazi kwa kupata kitu cha USA $87 million. Daaaaaaaaaaaaaahh!!!! Pretty damn impressive eeeeeeeh!!!!!!… Hapa nashauri wampatie Heshima ya pekee na place katika list ya the Cash Kings au we uanaonaje????????????
Just because she’s that awesome.!!!!!!!!!!!!

J & B NI FAMILY BORA , AKILI ZISIZO LALA.......WANAANGALIA MKWAJA TUU......... BONGO TUPO HAPO?????????????

No comments:

Post a Comment