Monday, August 2, 2010

ILIKUWA BONGE LA WEEKEND YA MA-CELEB'S WEDDING....

Hatimaye Clifford Harris Jr, 29 (T.I) na His longtime girlfriend Tameka Cottle 35(Tiny) wame-tie knot this weekend pande za kati pale kitu cha Miami kwenye Exclusive Star Island........


T.I & Tiny ni Lovers wa muda mrefu ... been dating since 2001. Ni kama kitu kimepigwa kimya kimya coz T.I kanukuliwa akisema alitaka iwe Event inayowahusu wao na sio Event ya kila mtu......... Zaidi ya kuwa na watoto 6 but mzazi kasisitiza ataendelea kuzaa as much as he can............. Daaaaaaaaaaah HaPpY LiFe Ever!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Huku nako kwenye Visiwa Vya Corsica pande za Ufaransa wakatupia kitu .. Hapa Kasseem "Swizz Beatz" Dean ,pale mwanadashosti Alicia Keys swafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........

Picha ya pamoja kama familia but dogo kama anamashaka na mama'ke mdogo, ebu check anavyomchungulia?????????.... wametupia vitu hatari sana hapo... Na huyo dogo ndio kijana mkubwa wa Swizz anaitwa Prince Dean ..

Hajah jah jah jah jah jah jah!!!!!!!!!! embuuuuuuuuuuu check hiyo view pale kati.................. ilikuwa poa sana banaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! Hongera sana bana.... HAPPY LIFE PIA.

No comments:

Post a Comment