Tuesday, August 31, 2010

LEO NI LEO.... AUG 31 DJ Feeeeh!!!! HAPPY B.DAY.

Leo ni siku tunaungana kwa pamoja kusherekea siku ya kuzaliwa kwa Mwanahabari mwenzetu Dj Fety kutoka pale mjengoni clouds Fm...... Fanya kutega sikio kila j'mosi kwenye Bongo fleva kuanzia 6 kamili mpk 9 mchana 4 mo skillz kutoka kwa Feeeeh eh!!!!! Happy B. Day.................
"....fatma hassan alizaliwa agosti 31....kwa kuwa alikuwa anapenda sana kula chapati wazazi wake na watu wa karibu walitabiri atakuja kuwa nonge la dj........lakini baada ya kuonja na kuramba ramba ice cream za azam.....wengi wakasema atafaaa sana kuwa mtangazaji....HUYU HAPA....FATMA HASSAN......DJ FETTY......EH EH...........QWEFE-EH..........happy born day!!!!..." (Hii ni post ya Ruben Ndege ..Ncha kali.. aliopost kwa wall yake facebook)

Friday, August 27, 2010

MARIO MPINGIRWA KUWAKILISHA TANZANIA KWENYE MR. MANHUNT INTERNATIONAL 2010.

One of Tanzanian Top Male model, Mario Mpingirwa kuiwakilisha Tz kwenye mashindano ya kumsaka Mr. Manhunt International 2010 yatakayofanyika nchini Taiwan later in October. 

Managing Director wa Compass Communications, Maria Sarungi Tsehai amesema, Mario (23 yrs ) ambaye amekuwa akishiriki katika local Fashion Industry zaidi ya 4yrs hapa Bongo ndio Mtanzania wa kwanza kubahatika kupata nafasi kushiriki kwenye mashindano haya maarufu Duniani.  Huku akiwa amefanya kazi na ma-Designer maarufu na wenye vipaji kutoka hapa Bongo kama Ailinda Sawe, Fatma Amour na Ally Rehmtullah. Recently Mario has worked with David Tlale wa South Africa.
Ameongeza kuwa Mario ana safari ndefu mbele yake huku akienda ku-face tough competition, with more than 80 countries and territories competing for this pageant, she believes anayo-enough experience to make us proud.!!!!!
Zaidi ya U-model, Mario is more talented kwani pia ni Tv Presenter ambaye ali-host mashindano ya Miss Universe 2010, huku pia ni bonge la Actor akiwa ameigiza kwenye movies tofauti tofauti kama "MY LOVE" na "SWEET REVENGE".

Tanzania kwa pamoja tujitokeza kum-support our belove n' fellow Tanzanian anapokwenda kuwakilisha Tz kwenye mashindano haya!! kila la kheri my Brada..
           
  GOD BLESS MARIO, GOD BLESS TANZANIA!!!!!

Thursday, August 26, 2010

TIP TOP CONNECTION WAKAMILISHA ALBAMU YAO..

Kundi linalo-make headline hapa bongo kutoka Manzese, Tip Top Connection wamaliza Albamu yao ya pamoja itakayokwenda kwa jina la TUNAPANDA yenye jumla ya majisong 14..

Ni Albamu ambayo wameamua kuifanya ya kiAfrika mashariki sana huku wakiwa wamefanya kollabo na wasanii wa ukanda huu wa Afrika Mashariki, Kutoka Kenya mzee mzima Nonini kawakilisha, Uganda wakasimama na Michael Rose na hapa Bongo kasimama A.Y pamoja na kundi matata la TMK Wanaume!!! Bonge la Albamu huku likiwa limetupiwa mikono kutoka kwa maproducer tofauti tofauti kama Enrico wa Soundcraft, Macko chali wa Mj Record, na Pancho wa B.Hits..!!!!!!!!!!!
Hayo yamesemwa na kiongozi wa kundi hilo Rais wa Manzese Madee kupitia kipindi cha XXL ya Cluods Fm kupitia segment ya 255 (2 gwafala gwafala) na Ncha kali....... Zaidi wanategemea ku-Lauch siku ya Eid-Mosi. Tip Top Connection na TMK Wanaume ni moja ya makundi yenye mfano mzuri wa kuigwa kwa ushirikiano wao... Kila la kheri wana!!!!!!!!!! 

Wednesday, August 25, 2010

WADAU CHUNGULIENI KITU KIPYA CHA MATEJA 20..!!

Wadau wote wa mtandao huu tunapenda kuwafahamisha kwamba hatimaye blog yenye Entertainment News na picha za ma-celebrities za kumwaga wa ndani na nje ya nchi imezinduliwa rasmi leo so kama vipi itembelee al da time kwa news na matukio ya kila siku ya kitaani kupitia www.mateja20.blogspot.com, tembelea bila kukosa !!!
Brada kanitumia info hii kupitia my E-mail Address ya arniegizzle@yahoo.com so support wadau kwa kumtembelea......!!!!!!!!!!

Tuesday, August 24, 2010

ATTENTION PLEASE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! IS WITNESZ AGAIN

Hii kutoka G5click.com ambayo wamenitumia via my E-mail Address ya arniegizzle@yahoo.com eeeeh bana tufanye support ya kutosha plzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!

TANZANIA TUWENI WAZALENDO KWA KU-SUPPORT VYA HOME.. PIGA KURA BANAAAAAA!!!

Tanzania ni yetu sote na haina budi kujivunia vya kwetu ... So inabidi tuwe wazalendo kimtindo kwa maendeleo ya muziki wa Tanzania. Ndio tumeshaingia kwenye ramani ya Dunia hivi jamani.. So weka support ya kutosha kwa wahusika hapo juu ili muziki wetu uende Next Level!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Kwa hisani ya Dj Choka... Thanx bro!!!!!!!!!

KUTOKA MEXICO JIMENA NAVARRETE WINS MISS UNIVERSE 2010.

Jimena Navarrete kutoka Mexico ndio kashinda taji la Miss Universe 2010 kati ya washiriki 84 kutoka nchi mbalimbali ikiwamo Tanzania ambayo iliwakilishwa na Hellen. Jimena won the title Monday night (Aug. 23) kupitia matangazo ya moja kwa moja ya NBC yaliyorusha kutokea Las Vegas. Miss Jamaica Yendi Philipps was the first runner-up na Miss Australia Jesinta Campbell sencond Runner-up, Na wengine ni Miss Ukraine Anna Poslavska na Miss Philippines Venus Raj -- who was the online favorite -- rounded out the top five. Navarrete takes over as Miss Universe from Stefania Fernandez kutoka Venezuela anayemaliza muda wake...

Monday, August 23, 2010

TANZANIA TUSIMAME KWA PAMOJA KU-SUPPORT MISS UNIVERSE 2010.

Hapa ni warembo wote wanaoshiriki taji la Miss Universe 2o1o , wakiwa wamepozi kwapamoja mbele ya Mandalay Bay Hotel ambapo watafanyia mashindano hayo...
Hellen Dausen ni mtanzania anayewakilisha Tanzania 2010 kwenye mashindano ya Miss Universe 2010 ktk 59th Annual Miss Universe competition.. Yatakayofanyika leo usiku from the Mandalay Bay Resort and Casino, in Las Vegas, Nevada.

Jamani hii ni kwa ajili yetu sote watanzania kutoa support hasa kumwombea mrembo wetu huyu kurudi home na Ushindi... God bless Hellen, God bless Tanzania.

Friday, August 20, 2010

BACK IN DAIZ IN VICTORIA FM 90.6 - MUSOMA.

Anaitwa Dj Bonnie-sly niliwahi piga nae mzigo pale Victoria Fm 90.6 pande za homeland Musoma @ dat tyme nilikuwa napiga field (2008)..... Daaaaah good enafu nimekuja kutana naye Ebony Fm Iringa, He is very very very Bad Boy yaaaani a Bad Boy............... bONGE bOnGe moja La pReSeNtEr na Zaidi BaD in dJ bOx............ Hapo akiwa ktk Studio ya Ebony Fm - Iringa...
Flower huyu anaitwa Issabella Nshama, pia nilimkuta pale Victoria fm 90.6 msm... Moja ya flowers walionipatia support ya kutosha sana kipindi chote cha field..... Thanx my Bella!!!!!

Pale kati ni Brada mwenye kutupia kitu black ni DJ Cares One, na nyuma yake ni Bro Paschal Buyaga na flowers ni Issabela Nshama na mwanadada Maria Mgabo...Guyz thnx kwa ushirikiano wenu kipindi chote nilichokuwa Victoria Fm 90.6... Appriciate!!!!!!!!!
Bonge ya Team work banaaaaaaaa...... Victoria fm 90.6 mpo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!
Kama sijakosea hiki ni kipindi cha Lunch time... hhhhhhhhaaaahhhhhh haa lol!!! Issabela huyoo mzigoni jah jah jah jah!!!!!!!!!!!
JAMANI WADAU HIYO STUDIO YA 90.6 MHz IS WHERE MY DREAMZ STARTED!!!!!!!

FAIDIKA NA FLINK IT YA G5 CLICK


G5 CLICK inawaletea programme yake mpya iitwayo FLINK IT ambapo unapata fursa yakuitangaza website/ blog yako kimataifa zaidi kupitia programme yao mpya kwa njia ya link exchange bila malipo yoyote(BURE) kwa maelezo zaidi wasiliana na Meneja wa masoko kupitia

BARUA PEPE: desy@g5click.com

NAMBA YA SIMU: +255-714-890-227

Wednesday, August 18, 2010

Jay-Z Ndio Tops wa Hip-Hop's Cash Kings 2010

Jay-Z kwa sasa anaitaji kubadilisha wimbo wake wa 99 Problems, coz it REALLY doesn’t seem like matatizo yapo kwake...........

Ndani ya miezi 12 iliyopita Brada Jigga kaingiza kiasi cha USA $ 63 million ... Jay-Z kapiga shavu baya na kupata Title ya #1 Hip-Hop Cash. Mkwanja huo kaupata kupitia source zake mbalimbali ikiwemo mauzo ya Albamu, Tour alizopiga sehemu mbalimbali duniani, Nightclub yake ya 40/40, na share kwenye timu ya mpira wa kikapu ya New Jersey Nets.

P. Diddy ni #2 kwa $30 million ikiwa ni mara 2 ya utajiri wa Jigga... Following behind Diddy ni kaka frm Afrika #3 Akon kwa $21 million, #4 Lil Wayne kwa $20 million,#5 Ludacris kwa $16 million, #6 Kanye West kwa $12 million, na Brada 50 Cent this time katupwa kuleee mpk #7 kwa $8 million na hii ni kutokana na kuweka kando muziki huku akibase sana kwenye filamu Industry.

JAMANIIIIIIIIiiiiiiiiiiiii Huyu hayupo kwenye Record ya male Hip-Hop artist, Namzungumzia Jay-Z’s wife Beyonce ambaye kawahacha vidume wote midomo wazi kwa kupata kitu cha USA $87 million. Daaaaaaaaaaaaaahh!!!! Pretty damn impressive eeeeeeeh!!!!!!… Hapa nashauri wampatie Heshima ya pekee na place katika list ya the Cash Kings au we uanaonaje????????????
Just because she’s that awesome.!!!!!!!!!!!!

J & B NI FAMILY BORA , AKILI ZISIZO LALA.......WANAANGALIA MKWAJA TUU......... BONGO TUPO HAPO?????????????

IVETA HIYOOOOOOOOO KITAANI KAA MKAO WA KULA!!!!!!!!

Huyu ndio mhusika mkuu .... wa IvEtA yaani Sajna na Bonge bonge moja la pozi. Anapenda sana kutupia mawani sana . Embu check cover ya Albem yake hapo chini:-
ALBUM TITLE: IVETA
ARTIST: SAJNA
RELEASE DATE: 19TH AUGUST 2010
EXECUTIVE PRODUCER: KID BWOY
DISTRIBUTOR: GMC & UMOJA AUDIO VISUAL

ALBUM DETAILS:Album ya IVETA ya msanii SAJNA ina jumla ya nyimbo 10, ambayo ilianza kutengenezwa Mwezi January 2010 na kukamilika mwezi July 2010. Wasanii waliopata nafasi ya kushirikishwa katika album hii ni Belle 9, Linah wa THT, Josefly kutoka Musoma Mara pamoja na Pipi. Lengo la kutoshirikisha wasanii wengi sana ni kutaka kuonesha uwezo wake na kuthibitisha kwamba msanii mchanga si lazima atoke kwa kupitia mgongo wa wasanii wakubwa.


Studio na producers waliohusika kutengeneza nyimbo katika album hii ni pamoja na TETEMESHA RECORDZ chini ya KID BWOY, AB RECORDS chini ya AMBA, A2P chini ya SAM TIMBER, IMMORTAL MUSIC chini ya TRIS na M LAB chini ya DUKE.Single ya pili kutoka bado haijaamuliwa ila ni kati ya SITAKI KUUMIZWA na MBALAMWEZI, moja kati ya hizo itakayopendekezwa na wadau wengi ndio itakayofuata baada ya IVETA.


SONG LIST AS APPEARED ON CD COVER
1. Iveta 2. Sitaki Kuumizwa ft. Linah 3.Binadamu

4.Mbalamwezi 5.Udehule 6.Mganga ft. Josefly

7.Nadhifa 8.Roho Mbaya ft. Belle 9 & Pipi

9.Subira

10.Ishara ya Msalaba

ALBUM ITATOKA KATIKA CD NA AUDIO CASSETTE
EXECUTIVE PRODUCER KID BWOY TETEMESHA RECORDZ

DEAR MAMA........ HASHEEM THABEET.

Uchungu wa mwana aujuae mzazi, hilo ni neno la kiswahili linalobeba maana sana. Hayo yamethibitishwa na Mama mzazi wa mchezaji nyota wa Tz anaecheza ligi ya NBA -timu ya Memphis Grizzlies Hasheem Thabeet (7.3ft) , alipofanya bonge la Interview na Dina Marios kupitia kipindi cha Leo Tena ya Clouds fm........ Mama Hasheem kajaribu kuelezea maisha yao kwa ujumla wapi walipotoka mpk sasa walipo... Zaidi kaelezea msoto aliokula na wanae baada ya Mme wake kukatika mwaka ya 2004...

Amesema pamoja ya msoto huo, pia alikumbana na kero kibao pale alipokuwa anapita kitaa na Mwanae then watu wanamcheka kutokana na urefu wa dogo kwa kumwita majina ya kejeli , wengine wakidiliki kumfananisha na jini mtu kitendo ambacho kilimsononesha sana Bi mkubwa .. Bi mkubwa anadai tabu nyingine aliyopata ni pale viatu vya Dogo vilipohitajika daaaaaaah !!! bila kwenda mtumbani huwezi pata dukani kutokana na urefu wa mguu wake, then jamaa walikuwa wanampiga bei mbaya kutokana na design hizo kuwa Adimu hivi....
Bi mkubwa kaelezea mengi kuhusu maisha ya familia yake hili kwa sasa anamshukuru sana Mungu kwani sasa anakula Bata MreFFFfffffff.............. kwa kwenda mbele kwani dogo ana-appreciate Bi mkubwa alivyo-husttle kuwafikisha walipo baada ya Dingi kukatika. Kilichonifurahisha ni pale Dina alipomuliza swali la kizushi kuwa ni kituko gani Hasheem alishafanya ambacho Bi mkubwa hawezi sahau................................ Daaaaah kumbe kipindi yupo school jamaa alikuwa bonge la mtemi, nunda au mbabe mbaya!!! alikuwa anapiga biti mdogo wenzake wamletee mkwaja wa kula shule la sivyo wasitie maguu skongaaaaaaaaaaaa otherwise wanachezea kichapo...... haaaaa hah ha hah ha!!!!!!!!!!!
Big up Mwana umetuonyesha njia kuwa everything is possible nikuongeza bidii tu!!!!

Monday, August 16, 2010

NEVER B4 NA HAIWEZI JIRUDIA TENA, Rhaaaaaaaaaaaa!!!!!!

Haiwezi jirudia tena kama hii siku... once in a life time... JAMANI WADAU NILIENDA KIKAZI IRINGA NA I WAS VERY VERY BUSY NDIO MAANA NILIKAA KIMYA SANA. AM BACK AGAIN JAMAN KARIBUNI TENA NA NIMEWAMISS SANA... TUJIKUMBUSHIE SHANGWE ZA FIESTA 2010 JIPANGUSE RHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!! Nilikutana na wana wengi sana sana mpk nikawish fiesta iwepo kila wiki... kuna watu tunaishi nao Dar bt nina miaka ka minne sijawatia machoni bt Rhaaaaaaaaaaa ikanikutanisha nao.........
Emma big n' Barley "B" wana sana sana hawa jamaa hila kila wkend tunashow love our place tbt na sinza star pale kati... Rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
The Model Ramshid au Chid..... kitambo sana zaidi ya simu na text... thnx rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
Hapo ni my Big Boss Tony kutoka FELIX SINZA CLASSIC WEAR pale sinza kijiweni..... kapiga mng'ao wa blue akishow love na wana ki fiesta Rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Full shangwe Rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na Ebony fm Crew , mwanzo mwalubadu, Gizzle , Bonnie-sly ,Leah na Austin the big Boss............................yaani rhaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Sipo tayari kwa snap jamani..... Gizzle na Barley wameshikilia Bonge la wine hapo kati.. Rhaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...
Nakutana na mwana kwenye PartY theN tunashow Love...... Rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
Barley na wana pia wanashow love Rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.!!!!!!!!!!!!

Mmmmmmmmmmmmmah hapa sisemi ni B, Emma big na kati flowers anaitwa Vivi... ctaki ugomvi mwenzio nimekuja kula bata .. Rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
My Brother frm another mother.. goes by the name of Adam Mchomvu akishow love na Gizzle rhaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwalubadu mbona boss Austin haonekani jamani????????????? au ndio kifiesta rhaaaaaaaaaaaaaaaa.................. Bonnie-sly unaona pale kati bonge la...........? Leah JICHO hilo!!!
Show Love na Nemo hapo kati backstage ni kitu cha rhaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!. The producer in 1 family ya Ebony Fm.....
Barley na Ncha kali pia walijipangusa mwanzo mwisho rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!! Kwani Rubben ilikuwa One Love au JIPANGUSE RHAAAAAAAAAAAA???????????
Haaaaaaaaaaaya The Best actress of all time Aunt Ez.. akishow Love na Gizzle rhaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!!!!!

Mamaaaaaaaaaaaaa!!! hajah jah jah jah jah jah jah flowers flowers pale kati na bonge bonge moja la suprise kwa bro ,,,ni Barley mmmmmmmh .. Rhaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
2010 ni kujipangusa Rhaaaaaa rhaaa rhaaaaaaaaaa kutoka Ebony Fm CREW all da way from Iringa ... kati paleeeeeeeeeeee Mwalubadu akijipangusa kifiesta rhaaaaaa. Kama kawa The Boss alijaribu kukwepa kidogo daaaaaaaaah......
When ma-King wanapokutana... daaaaaaaah king of the afternoon show B-dozen, B-12, B-twizz, B-twangaraaa B-a.k.a kibao kutoka kwenye Bonge moja la show XXL ya Clouds FM when meets Arnie - Gizzle pale kati ,the upcomming King of the Tv show...... Rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Mzeeyah wa So So freshhhhh Ncha kali pale kati na Gizzle wakijipangusa rhaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

I gotta boys in the building...... The boy Rajabu a.k.a Bonge bonge akishow love na B n' Gizzle rhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! Wadau nilikutana na wadau kibao nitaendelea kuwashow nikipata time........ Mwezi mtukufu mwema....!!!!!!!!

Monday, August 2, 2010

ILIKUWA BONGE LA WEEKEND YA MA-CELEB'S WEDDING....

Hatimaye Clifford Harris Jr, 29 (T.I) na His longtime girlfriend Tameka Cottle 35(Tiny) wame-tie knot this weekend pande za kati pale kitu cha Miami kwenye Exclusive Star Island........


T.I & Tiny ni Lovers wa muda mrefu ... been dating since 2001. Ni kama kitu kimepigwa kimya kimya coz T.I kanukuliwa akisema alitaka iwe Event inayowahusu wao na sio Event ya kila mtu......... Zaidi ya kuwa na watoto 6 but mzazi kasisitiza ataendelea kuzaa as much as he can............. Daaaaaaaaaaah HaPpY LiFe Ever!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Huku nako kwenye Visiwa Vya Corsica pande za Ufaransa wakatupia kitu .. Hapa Kasseem "Swizz Beatz" Dean ,pale mwanadashosti Alicia Keys swafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........

Picha ya pamoja kama familia but dogo kama anamashaka na mama'ke mdogo, ebu check anavyomchungulia?????????.... wametupia vitu hatari sana hapo... Na huyo dogo ndio kijana mkubwa wa Swizz anaitwa Prince Dean ..

Hajah jah jah jah jah jah jah!!!!!!!!!! embuuuuuuuuuuu check hiyo view pale kati.................. ilikuwa poa sana banaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! Hongera sana bana.... HAPPY LIFE PIA.