Wednesday, June 30, 2010

VUMILIA AMKUBALI MWANZO MWISHO PAULINE ZONGO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, VUMILIA amekili kuwa anamkubali sana mwanadada Pauline Zongo.... Ameyasema hayo alipoulizwa na Dina Marios kupitia kipindi cha leo tena cha Clouds fm kuwa ni msanii gani anayemvutia hapa Bongo? Kitu ambacho kimenivutia sana ni Appreciation ya Vumi kwa Pauline kwani ni mara chache sana hapa Bongo kukuta msanii anamkubali msanii mwenzake hasa hawa dada Zangu....... Msanii huyo aliyetamba na ngoma kama 'Utanikumbuka, Tatizo Umasikini n.k' pia amirelease liJI-New Song goes by the name of 1 Day..Na kuhusu suala la Albamu amedai ipo tayari na Soon ataidondosha kitaa...Ni moja ya Zao la THT kama unakumbuka, hila kwa sasa anapiga kazi na Kalunde Band na mtu mzima Mang'ustino mwalimu wa WAlimu.......
Dada Pauline Zongo we ni mkali hata me na kukubali kama vigezo vya Vumilia alivyotoa juu yako kuwa we mkali wa kuimba, kutunga na pia kutumia kifaa ka gitaa n.k.......... Nway sasa mara ya mwisho nilikusikia pale kwa Mh. Komba, TOT Kwani upo wapi jamani? au umekatika na Bro GK? PLZ we MISS U JAMANI MAFANS WAKO...... PLZ BACK AGAIN!!!!!!!!!!!!! 

No comments:

Post a Comment