Sunday, June 27, 2010

"TP" NEW SESSON WITH ABBRA THE PRODUCER...

Hapa ni crew nzima ya Tupo Pamoja tulipokaribishwa ndani tayari kwa kupiga show Pande hizo za kinondoni........
Mzee nikipata maelekezo kutoka kwa my Producer Big Tommy what 2 do during the show .... kazi imekomaa mpk tumeongezewa kichwa kingine kwenye Crew, huyu jamaa aliyeinama anakwenda kwa Jina la Nicolus, brada Frm Naii Kenya to Ttv...
Sina haja ya kusema lolote kwan wana unawaona mwenyeweeeeeeeeeeeeee!!!! Busy na mashot ya ukweeeh, daaahh mtu mzima Sam Tibba, The General na Producer Big Tommy....... Niliwamiss niaje kipindi hiki cha likizo time????????????????????? This time TP inakuja kitofauti sana...... Si kama mlivyoizoea.. Stay Tune 4 New Things funs!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ready 4 action???????????? That is my Boy The Producer akiwa tayari kwa kupiga mzigo ndani ya Studio za mtu mzimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.................

Yes Yes ladies n' Gentlemen namleta kwenu the Man Himself ABBRA The Producer.......... Mmiliki wa Video Studio ya GHS (Golden Heart Studio)..Hapo akiwa na Bi kidude baada ya kumaliza mzigo......... Since 2005 jamaa yupo kwenye game la Video Production ambapo alianzia kupiga mzigo studio za Visual Lab chini ya mkali Adam wa Next level............... Mpk anaisimamisha GHS amepitia mengi sana but zaidi anamshukuru sana Adam kwa kumpatia skills za kutosha mpk alipofikia................

ABBRA The Producer ameshapiga Video kibao sana , Hope kama huko makini na video za Bongo Fleva utakuwa si mgeni na hili jina la GHS.......Hasa Video iliyoleta utata hapa Bongo ya Offside Trick iliyokwenda kwa jina la Bata............. Hapo akipiga mzigo Muda Criss

Hapo Brada akiwa kazini akipiga mzigo na mwanamuziki Doricka........ Moja ya kazi nzuri pia!!!!!!!!!!!!!
ABBRA ni mkali wa shots ka The Gen.... Hapo akiwa ktk Angle fulani kati huku akichukua Bonge ya Shot................ Na Pembeni akiwepo mwana wa karibu sana na Mb Doggy anaekwenda kwa jina la Becka


Hapo kati ni Bi Kidude na wajukuu zake Offside Trick baada ya kumaliza mzigo wao mpya uliopigwa na ABBRA The Producer............ So wana wanashow Love na Bi Kidude kwa shangwe zoteeeeeeeeeeeee wakionyesha Tupo Pamojah........ Namzimia sana huyu Bibi Daaaaaaaaaaaaaaah....... Nway ni kama Show pande hizo za Kinondoni Tukaimaliza poa na kumwacha mwana akiendelea kukomaa na mzigo hapo GHS Studio............... Kama kawa nilipita kung'aa na sumu za FELIX SINZA CLASSIC WEAR pale Sinza kijiweni.........................!!!!!!!!!!! So don't ever dare to Miss The Show ever Friday @ 9pm!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment