Wednesday, June 9, 2010

R.I.P OLIVER N'GOMA....

Wadau na wapenzi wa AFRO-ZOUK poleni sana kwa kumpoteza Legend wenu from Gabon Oliver N'goma. ambaye amefariki Dunia Terehe 7 June 2010......
Afrika na Dunia imempoteza mtu muhimu sana, ambaye pengo lake halitazibika kamwe..... Oliver N'goma alizaliwa 23 March 1959 Huko Mayumba kusini-Magharibi mwa Gabon. Na ngoma yake ya kwanza kumng'arisha kwenye game ilikwenda kwa jina la Bane mnamo mwaka 1989........................ Mengi mazuri amefanya yatakumbukwa Daima!!!!!!!!!!!!!!!!!!..
MUNGU AIWEKA ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMENI....

No comments:

Post a Comment