Wednesday, June 16, 2010

NI ZAMU YA SAJNA SASA..............


Kama mdau wa BongoFleva napenda kumtambulisha kwenu Msanii Mpya wa kizazi kipya, SAJNA all da way from Rock City Mwanza, ambaye anatamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la IVETA... Yupo Dar kwa sasa ikiwa ni kujitangaza na pia kutangaza ujio wa Albamu yake ya kwanza ambayo itabeba jina la IVETA na ipo ktk hatua ya mwisho kuingia Sokoni

Ngoma ya IVETA inatokana na True Story iliyomtokea jamaa mmoja frm Bukoba ,ambaye alikuja Mwanza kutafuta Life na kumwacha mpenzi wake Iveta home bkb..... So after all happened mchizi alimfuata SAJNA amwandikie ngoma hili msg imfikie mlengwa.... kama ujaisikia fanya hivyo kwani ni bongeeeeeeeeee la ngoma..........

SAJNA anasema, Albamu yake ya kwanza itakwenda kwa jina hilo hilo la IVETA na itabeba jumla ya ngoma 10...........

Na katika Albamu SAJNA atadondoka na bonge la Collabo na wakali kama BELLE 9, LINAH na JOSEFLY............. Hili kuprove kipaji kijana kaamua kuwashirikisha wasanii wachache........

Albamu imepitia katika mikono ya wakali,,,, Studio kali pia kama TETEMESHA RECORDZ (Kid Bwoy), AB RECORDZ (Amba), MUSIC LAB(Duke), MZUKA RECORDS (Benja), A2P RECORDS (Sam Timba), na kwa MJ RECORDS (Marco Chali)................ Daaaaaaaaaaaaah ni mikono salama sana .... So get ready kwa hiyo upcoming Albam kutoka kwa SAJNA ambaye ilikuwa 2pige nae show last week but nilipata safari ya Iringa na This week mchizi anarudi mwanza... But si mbaya wadau wa "TP" tutamwona soon atakaporudi Dar........ Support His Music 4 da Next level!!!!!!!!!!!....

No comments:

Post a Comment