Thursday, June 10, 2010

THE NEXT TOP MALE MODEL IN TZ...

Mario M. Mpingirwa ni moja kati ya Professional Male Models wachache walio chaguliwa na mwanamitindo toka South Africa David Tlale kushow His Collection last week hapa Bongo................ Kijana anakuja juu kwenye Industry ya Modelling na sana mwaka huu 2010 ni wake hasa kwani soon anategemea kuondoka nchini kwende kuwakilisha Tz kwenye mashindano makubwa ya kimataifa, ambayo hajaweka wazi kwa sasa.......................
Hapa kijana akiwa kazini na Male Models wengine kwenye Tunzo za Kili Music Awards 2010..
Hapa AY , pale Joketi wakiwakilisha kama King & Queen na Top Models akiwemo Mario pembeni siku ya Kili Music Awards 2010........

Mario & Hellen are two Top Models who will make Tanzania Proud 2010.......... kulia ni Maria Sarungi wa Compass Comunications ambaye pia ni Boss wa wawili hao........ Big up Sisy Maria kwa kazi nzuri ya kuwaweka vijana fit hili wakaiwakilishe vyema TZ.................

AKIAMKA ANAWAZA MODELLING NA AKILALA THE SAME... BE BLESSED FAM......... I KNW U CAN MAKE UR DREAM COME TRUE MWANA........... KOMAAAAAAAAAA!!!!!!

No comments:

Post a Comment