Saturday, June 26, 2010

NAWAMISS HAWA JAMAA BANA... HASA WK END KAMA HII.

Hapo kati ni Bonnie-Sly na Juddy Mzurikwao, .... Aunt Hongera kwa kumaliza masomo yako salama... Karibu kitaa Mummy!!!!!!!!!!
Haaa jah jah jah kabla ya kusoma lazima ucheke...Unabishaaaaaaaaa???. kati ya watu walioni-make Happy toka naingia Iringa Town mpk natoka ni huyu Brada... kila nikimtazama nacheka mwenyewe... Anaitwa Mwalubadu.... nimekumiss jooh mzee wa Bata mrefuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!

Hapo vipi Brada???????????.... moja ya maproducer mwenye vituko Tz............. Anaitwa Saggy akiwa ktk Pozi na Mwalubadu......... Nawamiss sana bana.!!!!!!!!!!!!!!!!
Huyu Dj lakini nae anavijiuchokozi vya nyimbo balaaaaaaaaaaaaa, akawii kukupa dongo kupitia mjisong' , anafamika sana pale Iringa Town kama Dj KWASA......
Mabradamen, matozi wengine uwatania mashalobaroooooooo ( si mimi jamani) ambao wana swagger zao kivyao vyao ............ Pale kati ni J-ree na Ne-Mo......... Pia NAWAMISS SANA WANA...... Wote hapo juu ni wafanyakazi wenzangu wa Ebony Fm ambao nakutana nao mara moja moja nikiwa Iringa Town... 4 REALY I MISS U ALL na wengine ambao sikupata pix zao... Hope hapo kati cha SOON ya July tutamit tena bana.... SO say Holla 2 my People Over there.. WK-END NJEMA WANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment